kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Wavivu wapo mkuu ,tena wengi sanaIla wabongo sijui kwann tunapenda kuwaona wengine wavivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wavivu wapo mkuu ,tena wengi sanaIla wabongo sijui kwann tunapenda kuwaona wengine wavivu
Prondo:Hata ile ambayo wewe unaona hailipi kuna mtu inamlipa. You can see the glass half full or half empty.
Sheria yenyewe ina mapungufu kibao ,na ndio sababu hata wao inawawia vigumu kuisimamia
Imagine wanataka uombe kibali na kulipa tozo kabla hata hujachimba kisima chenyewe,
Kwenye mambo ya visima kuna mengi, unaweza kuchimba na usipate maji, au ukapata maji yenye chumvi isiyovumilika , au ukapata maji ambayo hayatadumu
@ 3.5 mil huko ulipo ni nafuu sana sijajua uhakika wa kupata maji upoje , huku nilipo nilipo visima kama hivyo vinaenda hadi 10 mil na unaweza ukayakosa maji , na chances za kupata maji matamu ni very slim to none
Ghorofa mara nyingi tunatumia marine boardsasa zikivunjika km 6 hivi au cement iking'ang'ania huoni ni bora ungenunua zako, maana ni lazima tena utakaa nazo miezi 6 mpaka ghorofa hilo likauke la sivyo Mhandisi hatakubali
na 30,000 ni kwa siku moja au mpaka umalize ujenzi
Na maneno mengi yaani mdomo Sana ila vitendo zero ,roho mbaya na kubanianaHapa tunasemea majority mkuu tu wavivu balaa...
Mjini mipango hata ashua za kuku ni diliWanakula kiulaini sana
Kuna vitu vinauzwa mjini huwezi kudhania hata siku moja kuwa ni dili[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh...ila si huwa wanafanya kautafiti kujua maji hapo yakoje?Binafsi nimeshawai kuchimba kisima kwenye hostel milioni 5 na nusu.. na nikapata maji yana magadi mengi hayafai kwa matumizi.. hela ikawa imepotea... yanatumika kuflash vyoo tu..
Duh...ila si huwa wanafanya kautafiti kujua maji hapo yakoje?
Si mchezo. Wanaweka wazi msije laumiana baadae.Utafiti unaonesha tu kama mwamba wa maji upo ama haupo.. ila quality ya maji ni bahati yako tu mchimbaji...
Kwenye report yangu ya investigation kuna sentensi wameiweka hapo (i)
Tena mimi nilichimbiwa na chuo cha maji.. chini ya wizara ya maji.. wana vifaa vyote vya kisasa ila nikakosa maji mazuri
View attachment 1812280
📌📌Na maneno mengi yaani mdomo Sana ila vitendo zero ,roho mbaya na kubaniana
Kama una ujasiri huo endelea tu kuwachana, mimi ukimya wangu ndio unanigharimuHahahaaaa hapana nilimchana tu aache kuniibia manake hela inapatikana Kwa shidaa
Akakasirika akasema namuona mwizi akaacha na kazi[emoji23][emoji23]
Kama una ujasiri huo endelea tu kuwachana, mimi ukimya wangu ndio unanigharimu