Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kaka kwa changamoto ila kikubwa pambana uhame hapo ulipo ukaishi kwako hata kama ni kwa kupanga inatosha maana mwisho wa siku huyo jamaa anaweza kuwafanyia chochote hao watotoHabari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,
Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.
Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!
Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.
Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.
Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
Sidhani kama kuna sababu ya kueleza hayo wakati msingi mzima wa madam yake ameshausemaKweli wewe siyo mwandishi mzuri, ila jitahidi ueleze uko wapi na kwa sasa unafanya nini hàta kama unauza kashata na kasusi sema ili tukushauri kwà hayo mazingira unaweza kufanya nini au labda ni jirañi yetu tukusaidie.
Hauko sahihi katika hili tambua alikuwa na shughuli yale lkn bahati mbaya mambo yakabadilikaHawa vijana umaskini wana utafutaga wenyewe.
Mtu anajua kabisa yeye ni maskini na hali ya nyumbani kwao kiuchumi ni mbaya, Badala ya kujijenga yeye kwanza anakimbilia kuzaa watoto na kuwa na familia.
Hapo lazima umaskini umtwange kisawasawa mpaka pale akili zitakapo mkaa sawasawa.
DuuhMimi ni kijana mkuu najua mema na mabaya huwezi kumkuja shati mtoto wa miaka miwili ameita bafuu kumbe ameita Babu we unasema amekuita pumbavu nilipandwa na hasira basi tu, na Wala sikumwambia chochote nae anajua nimechukia roho haipo kabisa ata ya utu kwake
Tusimlaumu kwa hili huenda ndio kwenye nafuu hukohata kama ni kurudisha mpira sio huko ulikourudisha huo ujasiri unaupata wapi?
Ili uwe na familia ni chaguzi za mtu mkuu, lakini masuala ya kujipanga ni muhimu lakini, kwa wale ambao hawajawa na familia nashauri wajipange vizuri wasije hata kuanguka, lakini pia na wale waliopo kwenye familia alafu wameanguka wasichoke kupiganaHauko sahihi katika hili tambua alikuwa na shughuli yale lkn bahati mbaya mambo yakabadilika
Unataka kuniambia ili uwe na familia inabidi uwe tajir? Maisha hubadilika mda wowote ule,usimuone mtu mzembe baada ya maisha kubadilika
Mmm.. hii ngoma hii huenda mtoa mada ndio anaishi kwa akina mjomba(karudisha mpira kwa mamaye)Huyo mjamba wako anafuata nini kwenu,
Kati yako na yeye nani yupo kwao?
Wala sihitaji unione niko sahihi.Hauko sahihi katika hili tambua alikuwa na shughuli yale lkn bahati mbaya mambo yakabadilika
Sio uwe tajiri, Bali uwe na uwezo wa kuhudumia mahitaji ya familia yako kwanzia makazi, chakula, elimu na mahitaji mengine yote ya msingi.Unataka kuniambia ili uwe na familia inabidi uwe tajir? Maisha hubadilika mda wowote ule,usimuone mtu mzembe baada ya maisha kubadilika
Vijana wanakimbilia kuzaa watoto wakidhani wana popoa maembe mtini.Ili uwe na familia ni chaguzi za mtu mkuu, lakini masuala ya kujipanga ni muhimu lakini, kwa wale ambao hawajawa na familia nashauri wajipange vizuri wasije hata kuanguka, lakini pia na wale waliopo kwenye familia alafu wameanguka wasichoke kupigana
Boss kwakuwa umejipata usione hakuna kukwama katika maisha hilo ulitambueWala sihitaji unione niko sahihi.
Ila nakwambia hivi, Umaskini hauna bahati mbaya. Umaskini unatokana na uzembe na mipango mibovu.
Sio uwe tajiri, Bali uwe na uwezo wa kuhudumia mahitaji ya familia yako kwanzia makazi, chakula, elimu na mahitaji mengine yote ya msingi.
Kabla ya kuleta kiumbe duniani hakikisha utaweza kukihudumia, Sio kuja kutia tia huruma kutaka msaada wa watu wengine usaidiwe.
Hakuna aliye kusaidia kuleta watoto duniani. Vivyo hivyo usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
Unavyo tafsiri maisha usidhani kila mtu anaya tafsiri hivyo hivyo.Boss kwakuwa umejipata usione hakuna kukwama katika maisha hilo ulitambue
Nakwambia hivi, matatizo mengi maishani na umaskini huletwa na uzembe na ujinga.Maisha ni milima na mabonde,kuna ambao hupita mlimani tu na kuna ambao hukutana na mabonde,kwahiyo narudia tena usiowaone wajinga walio kwama kimaisha na wala usiwaone ni wazembe,hakuna anayependa maisha mabaya
Maisha yanakupa unachotaka cha msingi uwe na mipango madhubuti na imara.Ila siku zote maisha hayatupi tunatochaka ingawa tunatamani iwe hivyo
Daah, Mkuu naona hujamuelewa Mkuu Etugrul BeyUnavyo tafsiri maisha usidhani kila mtu anaya tafsiri hivyo hivyo.
Nilisha kwama katika maisha na nili hustle kivyangu nikatoboa.
Sikutegemea mtu yeyote aje anipe msaada na wala sitegemei msaada wa kiumbe chochote kile.
Nakwambia hivi, matatizo mengi maishani na umaskini huletwa na uzembe na ujinga.
Wewe kama unajijua bado huna uwezo wa kuhudumia watoto, Kwa nini uzae?
Au unazaa ukitegemea uje usaidiwe?
Maisha yanakupa unachotaka cha msingi uwe na mipango madhubuti na imara.
Sasa wewe unazaa watoto halafu wewe mwenyewe hali yako ya kiuchumi ni mbaya, Halafu utegemee maisha yatakuwa marahisi kweli?
Hapo ni nyumbani kwenu (kwa baba yako) au ni kwao mama yako (ujombani)?Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,
Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.
Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!
Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.
Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.
Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
maisha magumu kwa kila mtu unapokwenda kuleka famila yako tena kwa watu wengine wau wenye mioyo midogo lazima wachukie mkuu solution wewe hapo ni kupambania familia yako tu ikiwezekana fanya kazi hata usiku na mchana ndani ya wmezi watoe hapo..ukapange hata chumba kimoja huko waishi kwa amani watoto wako na mke wako..!Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,
Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.
Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!
Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.
Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.
Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
Ninahisi hivi hata mimi.Jamaa ndo karudisha mpira umamani bila kujua wajomba sio ndugu zake ni ndugu wa mama yake.