Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Sijaelewa fafanua
Unamuonea wivu mjomba wako kwa sababu anatongozwa na mademu wakali?
 
Siku ukiacha utoto kama huu utatomgozwa sana. Babies hawatongozwi
 

Wakati nakuwa ndo niliona jinsi ma taxi driver hawaendelei na wanakufa hovyo! Usitaman, ni ubatili na upumbavu tu!
 
Jomba mbona umeuanza mwaka kwa kuwaza ushetani? Hadi ifike kwaresma hali si itakuwa mbaya sana kwako?
 
Asilimia kubwa ya Wanawake wa dunia hii hawavutiwi kabisa na wanaume wenye papara, unapoonyesha utulivu na upendo, ucheshi kdg pamoja na maturity I mean ukomavu wa akili haijalishi una miaka mingapi utawala sana, Umri ukisogea kdg ndo kbs wanatiririka inabidi wewe mwenyewe ndo uweke chujuo kwa maana ya standards zako. Nina visa vingi sana vya madada pia. Sio inshu.
 
Ni ishu kwangu ambae sijawahi kuwa na pisi kali mkuu

Unajua uchungu wa kuwa na madem wabovu tu. pisi kali unabaki kuzitamani tu na kuziona kwa mbali ni shida ila natumaini huu upepo mbaya utaondoka soon 😒
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sema mkuu mimi ni mwaminifu, kama kuna kadada uko kadogo dogo nipeni koneksheni, kawe 18 to 19
 
Kawe na akili pia 😁
 
Weka picha za ao manzi wanaomtongoza tuwaone kwanza! Sasa unatongozwa na Asha Ngedere ndala ndefu hakuna maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…