Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Sijaelewa fafanua
Unamuonea wivu mjomba wako kwa sababu anatongozwa na mademu wakali?
 
Heri ya mwaka wanajf

Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa

Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana

Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu

Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu

Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana

Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu

Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi

Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa

Inauma 😔😔😔😔
Siku ukiacha utoto kama huu utatomgozwa sana. Babies hawatongozwi
 
Wakati nakuwa ndo niliona jinsi ma taxi driver hawaendelei na wanakufa hovyo! Usitaman, ni ubatili na upumbavu tu!
 
Jomba mbona umeuanza mwaka kwa kuwaza ushetani? Hadi ifike kwaresma hali si itakuwa mbaya sana kwako?
 
Asilimia kubwa ya Wanawake wa dunia hii hawavutiwi kabisa na wanaume wenye papara, unapoonyesha utulivu na upendo, ucheshi kdg pamoja na maturity I mean ukomavu wa akili haijalishi una miaka mingapi utawala sana, Umri ukisogea kdg ndo kbs wanatiririka inabidi wewe mwenyewe ndo uweke chujuo kwa maana ya standards zako. Nina visa vingi sana vya madada pia. Sio inshu.
 
Ni ishu kwangu ambae sijawahi kuwa na pisi kali mkuu

Unajua uchungu wa kuwa na madem wabovu tu. pisi kali unabaki kuzitamani tu na kuziona kwa mbali ni shida ila natumaini huu upepo mbaya utaondoka soon 😢
 
Mi ankali wangu aliwahi niambia hajawai kumjua ke mwingine tangu amjue mkewe kumbe alikuwa akinihusia tu kuhusu hali ya kutulia siku ya siku namkuta kakamata chombo haswa mtoto mbichi haswa wa late 90's. Nikajua mwanaume kuwa muaminifu sio jambo jepesi.
😂😂😂😂 Sema mkuu mimi ni mwaminifu, kama kuna kadada uko kadogo dogo nipeni koneksheni, kawe 18 to 19
 
Mi ankali wangu aliwahi niambia hajawai kumjua ke mwingine tangu amjue mkewe kumbe alikuwa akinihusia tu kuhusu hali ya kutulia siku ya siku namkuta kakamata chombo haswa mtoto mbichi haswa wa late 90's. Nikajua mwanaume kuwa muaminifu sio jambo jepesi.
Kawe na akili pia 😁
 
Heri ya mwaka wanajf

Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa

Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana

Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu

Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu

Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana

Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu

Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi

Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa

Inauma 😔😔😔😔
Weka picha za ao manzi wanaomtongoza tuwaone kwanza! Sasa unatongozwa na Asha Ngedere ndala ndefu hakuna maajabu
 
Back
Top Bottom