Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wako?Hata nikitongoza siwapati mkuu kama yyb!
Kuna Dem mkali yupo A town apo nikuconnect nae, ni 20s lakini hazidi 22, utakuja kunishukuru mkuu...Nipe mbinu mkuu
Yes grruuuuSijaelewa fafanua
Unamuonea wivu mjomba wako kwa sababu anatongozwa na mademu wakali?
Siku ukiacha utoto kama huu utatomgozwa sana. Babies hawatongozwiHeri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana
Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu
Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu
Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana
Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu
Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi
Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa
Inauma 😔😔😔😔
Heri ya mwaka wanajf

Mi ankali wangu aliwahi niambia hajawai kumjua ke mwingine tangu amjue mkewe kumbe alikuwa akinihusia tu kuhusu hali ya kutulia siku ya siku namkuta kakamata chombo haswa mtoto mbichi haswa wa late 90's. Nikajua mwanaume kuwa muaminifu sio jambo jepesi.🤭😁😁😁
Ni ishu kwangu ambae sijawahi kuwa na pisi kali mkuuAsilimia kubwa ya Wanawake wa dunia hii hawavutiwi kabisa na wanaume wenye papara, unapoonyesha utulivu na upendo, ucheshi kdg pamoja na maturity I mean ukomavu wa akili haijalishi una miaka mingapi utawala sana, Umri ukisogea kdg ndo kbs wanatiririka inabidi wewe mwenyewe ndo uweke chujuo kwa maana ya standards zako. Nina visa vingi sana vya madada pia. Sio inshu.
😂😂😂😂 Sema mkuu mimi ni mwaminifu, kama kuna kadada uko kadogo dogo nipeni koneksheni, kawe 18 to 19Mi ankali wangu aliwahi niambia hajawai kumjua ke mwingine tangu amjue mkewe kumbe alikuwa akinihusia tu kuhusu hali ya kutulia siku ya siku namkuta kakamata chombo haswa mtoto mbichi haswa wa late 90's. Nikajua mwanaume kuwa muaminifu sio jambo jepesi.
Kawe na akili pia 😁Mi ankali wangu aliwahi niambia hajawai kumjua ke mwingine tangu amjue mkewe kumbe alikuwa akinihusia tu kuhusu hali ya kutulia siku ya siku namkuta kakamata chombo haswa mtoto mbichi haswa wa late 90's. Nikajua mwanaume kuwa muaminifu sio jambo jepesi.
Weka picha za ao manzi wanaomtongoza tuwaone kwanza! Sasa unatongozwa na Asha Ngedere ndala ndefu hakuna maajabuHeri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana
Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu
Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu
Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana
Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu
Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi
Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa
Inauma 😔😔😔😔
Acha uvivu tongoza😂😂😂😂 Sema mkuu mimi ni mwaminifu, kama kuna kadada uko kadogo dogo nipeni koneksheni, kawe 18 to 19