Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Hilo kanisa lilifanya waziri mkuu mstaafu wa japani apigwe shaba na gobole, mchana wa jus kali
 
Mitt romney ni moja ya watu mashuhuri walio kwenye hili dhehebu
Na kwenye ibada zao sare mara nyingi ni suti
 
Hao wako wengi na wana hela zaidi ya hao wanaotangazwa. Wana matrilioni ya pesa lakini hawajitangazi. Wanagopa kifo tu na si zaidi ya hapo. Wao wanasema kama kifo kingekuwa kinapewa rushwa kisiwapate wangefanya hivyo haraka sana.
 
Bongo noma sana.. majitu yana hela kama mvua.
 
Ipo mkuu tena vijana wake wako wengi mtaani wanaeneza habari za kanisa hilo wengi ni wazungu na mataifa mengine ya kiafrica wanavaa mashirt meupe na suruali nyeusi wapo Morroco
Ndio morroco wapo,kwa ndani pale pametulia kuna uwanja wa basketball hivi nadhani mule.

Nikiwa Airtel ,ofisi ghorofani nilikua naliona kwa chini.
 
Kheri ange ruhusiwa tu maana ukiwa juu angani na mwewe ukitazama chni hasa iyo mitaa tajwa yaan ni kuaibisha taifa mapema mapema
 
Mama huyu ana Meli zake za mizigo siyo wa mchezo mchezo na ameolewa na Mchungaji wa anapo abudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…