25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Anunue Vingunguti yote na myamani ingawa kuna nyumba mbovu sidhani kama alikuwa na ubavu huo kumbuka kuna ununuzi aina 2 wa kwanza ni mtu kutaka kuuza banda lake kwa sababu ya shida yake huyu ni rahisi kumuhamisha ununuzi wa 2 ndio mgumu sana wakutaka kumuhamisha mtu bila yeye kupenda huo ndio unuzi ghari sana hata yule alietaka kununua mtaa mzima Mombasa kwa mkolimba alishindwa pamoja 1 kuwa na Mihela ya wizi wa bandaliniView attachment 2547499
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.