Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

View attachment 2547499

Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.

Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.

Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Anunue Vingunguti yote na myamani ingawa kuna nyumba mbovu sidhani kama alikuwa na ubavu huo kumbuka kuna ununuzi aina 2 wa kwanza ni mtu kutaka kuuza banda lake kwa sababu ya shida yake huyu ni rahisi kumuhamisha ununuzi wa 2 ndio mgumu sana wakutaka kumuhamisha mtu bila yeye kupenda huo ndio unuzi ghari sana hata yule alietaka kununua mtaa mzima Mombasa kwa mkolimba alishindwa pamoja 1 kuwa na Mihela ya wizi wa bandalini
 
Hili ni kabila lililotokea Ethiopia wakaingia Kenya halafu wakaingia Tanzania maeneo ya Upareni wakakaa huko kwa muda mrefu nadhani wakazinguana na Wapare ndiyo wakapandisha Lushoto, kukaa kwao Upareni muda mrefu ndiyo kuliathiri utamaduni wao ikiwemo na lugha yao, nilioa kwenye kabila hili wanawake zao ni warembo haswa ila Sasa ujipange[emoji3]
Yeah, sasa hao Wambugu ni sehemu ya wapare tu, hata kimbugu na kipare ni same same karibia kila kitu.
 
Hili ni kabila lililotokea Ethiopia wakaingia Kenya halafu wakaingia Tanzania maeneo ya Upareni wakakaa huko kwa muda mrefu nadhani wakazinguana na Wapare ndiyo wakapandisha Lushoto, kukaa kwao Upareni muda mrefu ndiyo kuliathiri utamaduni wao ikiwemo na lugha yao, nilioa kwenye kabila hili wanawake zao ni warembo haswa ila Sasa ujipange[emoji3]
😀😀 ujipange nini mkuu!
 
Maji ya bati lile yanamwagikia kwenye dirisha la jirani hadi kitandani mara jirani aliyejuu kafungulia bomba la majitaka yameingia sebleni yaani taabu mtupu
Kati mama muuza anapika supu juu ya majitaka
 
Hawa ndio watu tunaowahitaji, masikini wanaharibu miji yetu, DSM ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange, sio kuruhusu ujenzi holela.

Too late for that, viongozi waliooita hwakuwa na hiyo vision , mji umejaa sasa wanafumua kwa gharama
 
Huyo mama mpango wake ulikuwa mzuri ila chawa wake walimuharibia kwa kuweka mbele maslahi yao na kukawa na changamoto ya uchelewaji wa mpango mzima kiasi cha kuanza kuonekana tapeli ndipo Serikali ilipoingilia kati lakini nina imani malengo bado anayo na wakati wowote zoezi litaendelea.
[/QUOT
Walishamtupia lawama mzee wa watu kumbe chawa wa mwenye mradi ndio waliuharibu na kuufanya uonekane utapeli.
 
yeye alikuwa mtu wa kati,wenyewe walikuwa wakorea,magu alisema waje wenyewe wafuate taratibu,sio wanapitia kwa mgongo wa mzawa.
ndio maana dili lilibuma,pia madalali walitaka 3% ya hela ambayo mwenye nyumba ungelipwa.
Kumbe hata mradi haukuwa wake.

Ujanja ujanja tu halafu mnakashifu watu bila sababu.
 
Kwenye hayo mambo ya majengo na ardhi kuna utakatishaji pesa wa kufuru. Kwenye awamu ya nne kulikuwa na kashfa nyingi. Mtu anayeweza kununua Buguruni na Vingunguti yote huku hajawahi kujulikana na hata 10% ya watanzania kwa biashara anazofanya inabidi kutafakari mno. Kuna mtu mmoja alishawahi sema tajiri namba moja hapa TZ wala sio Mo au Bakresa... kuna miamba haijulikani.
Yeye mwenyewe dalali tu pesa za wakorea.
 
Back
Top Bottom