Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

Ukisoma ukurasa wake wa IG ndio utajua vizuri yeye ni mtu wa aina gani.
 
Na wewe kapige matungulo kama ni KAZI rahisi kihivyo
Sina muda na hela za mateso sababu ningezitaks mpaka now ningekuwa nazo sababu nawajua nani wanaotoa na wapi wanapatikana but nayajua madhila yote wanayoyapitia hao mnso waona kwenye media wakitamba na hizo hela za mashetani/majini mfano kufirimbwa na majini kila siku alfajiri wewe ungeweza?
 
Ningekuwa sifahamiani nae ningeandika hadi ofisi zake zipo wapi...
Ni low profile, ndivyo katengeneza maisha yake hivyo.. nitajihisi mwenye hatia kumuandika hapa, lakini ndivyo hivyo..
Ana Mabus mangapi Maximum? Na je ni route moja tu ya Mwanza to Bukoba?
 
Inapendez sana Kwa vijana wasas kuwa na mafanikio ya pesa isiyojulikana zmetokea wapi hatari sanaa
 
Back
Top Bottom