Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
View attachment 3242338
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki kampuni ya mabus sio kazi ndogo na kufanya biashara ya mabus sio kazi rahisi na sio biashara rahisi pia maana biashara hii ina changamoto nyingi ina inahitaji sana uvumilivu ila tuseme tu ukweli kijana mwezetu amepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni yake mwenyewe ya mabus hongera sana kwake Shafineyz
View attachment 3242339
Hongera sana kwako Shafineyz na sisi Kaka zako tunaamini utafika mbali katika biashara yako ya mabus hongera sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua hii kubwa
Tumpe support kijana mwezetu
View attachment 3242337
MWANZA TO BUKOBA