Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

Aaah, ila jamaa nae
Kuna mipumbavu inajidai inajua kila kitu, KAZI yao kubisha tu
Wewe ni mjinga, kwanza unaelewa wafanya biashara wa mabasi wengi/karibu wote wanazungushia biashara mikopo ya benki? na basi moja kuanza kukupa faida average ni baada miaka miwili...
Unapiga domo tu hufahamu lolote, wapo vijana wana pesa chafu na hutowaona popote we mpuuzi...
 
Mbona watu wanakuwa wakali kwenye uzi huu hasa anapokwenda tofauti kifikra dhidi ya tajiri mtoto mtajwa.......

Kama umeamua kumuweka public basi kila mtu atachangia kulingana na maoni yake.......
 
Lets put something on perspective here, sio kwa ubaya, its my 2 cents.
Huyu chalii yuko mwanza. And kusema ni self made, naah, sio kweli. His late dad (RIP) alikua mfanyabiashara mkubwa wa mazagazaga (i dnt have right word for it), yaani hua ana kama used spares lakini za vitu vingi hasahasa vya mgodini. Hata mimi nmewahi kununua pale koromeo la pump yangu ya umwagiliaji.
Baada ya mzee kwenda, i think wakagawana akajitenga akafungua the same thing, na duka ake ipo inatazamana na ilipokua stendi ya kauma zamani (sikumbuki mtaa).
APart frm that, ana daladala (coaster) ndo ziko mob.
Hii mabasi sidhan kama zinazidi 2, tena n za kwenda singida, mayb ndo ameanza kuventure kwenye hii biashara.
Katika ubinadam, nigga n mtu flan humble tu, hana makuu wala nin, hata ukikutana nae tofaut na magari anayoendesha yakiwa na plate number ya jina lake na tatoo mingi na cheni za silver kama wasanii, hana tofaut na watu wengine.
Kuhusu ushombe, not really. Ni mweupe tu, sema kaweka dawa nywele na kachora mwili.
So yeah, mwenye sredi kampakulia minyama , lakn its fair kila mtu akapata mwanga on him.
 
Aaah, ila jamaa nae

Wewe ni mjinga, kwanza unaelewa wafanya biashara wa mabasi wengi/karibu wote wanazungushia biashara mikopo ya benki? na basi moja kuanza kukupa faida average ni baada miaka miwili...
Unapiga domo tu hufahamu lolote, wapo vijana wana pesa chafu na hutowaona popote we mpuuzi...
Katika Biashara ukiweza kutumia mkopo mkubwa wa Bank au sehemu unaweza kuchukua bidhaa hata za B bila kulipa hata cents wewe ni mfanyabiashara mkubwa usikariri maneno ya mtaani yasio na faida Nchi zilizoendelea vitambulisho vyetu tu ndio dhamana kuu.
 
Kibongo bongo kuweza kumiliki hivyo vitu alivyonavyo ni tajiri tena mkubwa sijui mnabisha nini au ndio wivu.
 
Back
Top Bottom