Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

Sidhani kama ni kwa Tanzania nzima, kuna mmoja namfahamu sio mtu wa media, low profile sana, ana mabasi kama nguo...
Fanya research...
Afanye research ili iweje yani. Huo muda unaomwambia afanye research kwa ajili ya mabasi ya mtu mwingine ni kwa nini usimwambie atumie huo muda kutafuta mabasi yake mwenyewe?
 
Hivi watanzania inaonekana hamna elimu juu ya mikopo wengi mnaona kukopa ni kushindwa Leo hii ata ukimleta Elon musk aje kuwekeza kwenye nchi yako iyo hela ya kuwekeza anachukua mkopo hatoi akiba yake bank unajua kwanini?
wapi nimesema kwenye maelezo yangu wameshindwa kutumia pesa zao...
kiongozi naelewa mbinu zote hao wafanya biashara za uchukuzi wanachofanya..
 
Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
View attachment 3242338

Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki kampuni ya mabus sio kazi ndogo na kufanya biashara ya mabus sio kazi rahisi na sio biashara rahisi pia maana biashara hii ina changamoto nyingi ina inahitaji sana uvumilivu ila tuseme tu ukweli kijana mwezetu amepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni yake mwenyewe ya mabus hongera sana kwake Shafineyz
View attachment 3242339
Hongera sana kwako Shafineyz na sisi Kaka zako tunaamini utafika mbali katika biashara yako ya mabus hongera sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua hii kubwa

Tumpe support kijana mwezetu

View attachment 3242337

MWANZA TO BUKOBA
Ukimaliza huyu tafuta historia ya superfeo
 
Ameshaachs utapeli wa kujifanya mganga /freemason now ameingia na gia ya mabasi?

Hamna low profile hapo mshamba tu kama ndo wewe mwenyewe nakuchana tu acha ushamba. Kwenye insta anaweka post kibao za majigambo kuwa ana hela but kwa jicho la tatu unamuona mpigaji tu matunguli
Na wewe kapige matungulo kama ni KAZI rahisi kihivyo
 
Back
Top Bottom