Sina muda na hela za mateso sababu ningezitaks mpaka now ningekuwa nazo sababu nawajua nani wanaotoa na wapi wanapatikana but nayajua madhila yote wanayoyapitia hao mnso waona kwenye media wakitamba na hizo hela za mashetani/majini mfano kufirimbwa na majini kila siku alfajiri wewe ungeweza?
Ningekuwa sifahamiani nae ningeandika hadi ofisi zake zipo wapi...
Ni low profile, ndivyo katengeneza maisha yake hivyo.. nitajihisi mwenye hatia kumuandika hapa, lakini ndivyo hivyo..