Mkuu umeona kianzio hapo ni milioni 23 uyo ni wa kipato cha chini ??Shida ndg yangu shida. Yaani tunaamini tukicheza kweli hiyo michezo tutatusua kumbe ni utapeli mwanzo mwisho.
Na wanaocheza wengi ni wa kipato cha chini, tatizo njaa.
Na wameshajua ni kichwa cha mwendawazimu kila wakati wanatutumia ujumbe wa kutuhamasisha tucheze zaidi
Shida ndg yangu shida. Yaani tunaamini tukicheza kweli hiyo michezo tutatusua kumbe ni utapeli mwanzo mwisho.
Na wanaocheza wengi ni wa kipato cha chini, tatizo njaa.
Na wameshajua ni kichwa cha mwendawazimu kila wakati wanatutumia ujumbe wa kutuhamasisha tucheze zaidi
IMTU si ni mambo ya Uganga sorry utabibu, ama walikuwa wanatoa na kozi za fedha?
Wajing wote Acha wapigweeeeMpaka Mchungaji wa KKKT alipewa cheo baada ya kutoa milioni 200!
Huyu Mkulungwa katisha!
Mtu kastaafu kapewa kiinua mgongo! Mshahara wake ulijulikana! Bado una muweka kwenye level hizo? Hawa wanawaibia wastaafu mara nyingi!Mkuu umeona kianzio hapo ni milioni 23 uyo ni wa kipato cha chini ??
Uvivu Uvivu wa akili na Uvivu wa kufanya kazi ndio shidaLakini watanzania tuna shida huwa hatuelewi hadi tutapeliwe....kila siku watu wanalizwa lakini hatukommi
Hakuna watu wajing wp#£mb-#%v kama wtz
Ova
Ona huyu masaburiiKa barvicha haka nakajua sana
USSR
Yaelekea unawapenda sana vijana wa BAVICHA kiasi cha kuwajua kila anayezungumziwa!!!??Ka barvicha haka nakajua sana
USSR
Ndio kusema hata sisi wa vanilla ya kilo moja million moja tutakuwa tumeshatapeliwa?Wazee waliahidiwa 72% ya riba kwa mwaka. Yaani 6% kwa mwezi.
Hakuna biashara inatoka return on investment ya 72% annually labda ufisadi.
Acha tu waendelee kupigwa.
Ilikua kianzio ni 23 mil. hao siyo wa kipato kidogo.Shida ndg yangu shida. Yaani tunaamini tukicheza kweli hiyo michezo tutatusua kumbe ni utapeli mwanzo mwisho.
Na wanaocheza wengi ni wa kipato cha chini, tatizo njaa.
Na wameshajua ni kichwa cha mwendawazimu kila wakati wanatutumia ujumbe wa kutuhamasisha tucheze zaidi
Lakini watanzania tuna shida huwa hatuelewi hadi tutapeliwe....kila siku watu wanalizwa lakini hatukommi
Wanaweza kuwa wa kipato kidogo ila mtu aliuza nyumba kiwanja au kukwangua pensheni yake na kuipeleka kwa matumaini ya kuvuna zaidi.Ilikua kianzio ni 23 mil. hao siyo wa kipato kidogo.
Ngoja wasahausahau kidogo,project nyingine ije....
Wazee wa miaka hiyo hawaelewi kitu jinsi dunia inaenda. Ilifaa hata kugombea uongozi wasiruhusiwe.Dogo kawazidi hakili hadi wazee waliozaliwa miaka ya 1950s
Watanzania tuko mil 62, bado kuna watu kila siku hawajui yanayoendelea na hivyo wataendelea kupatika wa kutapeliwa.