msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
Mkuu umeona kianzio hapo ni milioni 23 uyo ni wa kipato cha chini ??Shida ndg yangu shida. Yaani tunaamini tukicheza kweli hiyo michezo tutatusua kumbe ni utapeli mwanzo mwisho.
Na wanaocheza wengi ni wa kipato cha chini, tatizo njaa.
Na wameshajua ni kichwa cha mwendawazimu kila wakati wanatutumia ujumbe wa kutuhamasisha tucheze zaidi