Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

Shida ndg yangu shida. Yaani tunaamini tukicheza kweli hiyo michezo tutatusua kumbe ni utapeli mwanzo mwisho.

Na wanaocheza wengi ni wa kipato cha chini, tatizo njaa.
Na wameshajua ni kichwa cha mwendawazimu kila wakati wanatutumia ujumbe wa kutuhamasisha tucheze zaidi
Mkuu umeona kianzio hapo ni milioni 23 uyo ni wa kipato cha chini ??
 
Kipato cha chini acheze 23 milioni? Acha utani
Shida ndg yangu shida. Yaani tunaamini tukicheza kweli hiyo michezo tutatusua kumbe ni utapeli mwanzo mwisho.

Na wanaocheza wengi ni wa kipato cha chini, tatizo njaa.
Na wameshajua ni kichwa cha mwendawazimu kila wakati wanatutumia ujumbe wa kutuhamasisha tucheze zaidi
 
Watamzania wanaponzwa sana na tabia ya kupenda bure ( bure syndrome) na kutaka kupata hela kirahisirahisi ( rejea miujiza, misheni town n.k).

Halafu watu wanapenda kuhadithiwa badala ya kujisomea wenyewe criyically pia mabishano yenye uelekeo wa simba na yanga badala ya kutafakari jambo kwa kina.

Hivyo kuibiwa pesa kijanja ni rahisi mno kwa wengi wao.
 
Wazee waliahidiwa 72% ya riba kwa mwaka. Yaani 6% kwa mwezi.

Hakuna biashara inatoka return on investment ya 72% annually labda ufisadi.

Acha tu waendelee kupigwa.
 
Shida ndg yangu shida. Yaani tunaamini tukicheza kweli hiyo michezo tutatusua kumbe ni utapeli mwanzo mwisho.

Na wanaocheza wengi ni wa kipato cha chini, tatizo njaa.
Na wameshajua ni kichwa cha mwendawazimu kila wakati wanatutumia ujumbe wa kutuhamasisha tucheze zaidi
Ilikua kianzio ni 23 mil. hao siyo wa kipato kidogo.
Ngoja wasahausahau kidogo,project nyingine ije....
 
Wanaweza kuwa wa kipato kidogo ila mtu aliuza nyumba kiwanja au kukwangua pensheni yake na kuipeleka kwa matumaini ya kuvuna zaidi.
 
Back
Top Bottom