Ticktock dork
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 466
- 308
Hili swali nimeliuliza ila sipewi majibu mujarab...
Hivi biblia unayoizungumzia ni ipi. ?? Au ni hii Biblia ambayo ni mali na ubunifu wa Kanisa Katoliki...??
Hawa wakatoliki ni ma-genius....Yani unatumia material yao kuwakosoa.. Ndio maana wapo kimya wameamua kuwadharau
HKasome kitabu chote kwa sabab ni series ya matukio!
Ndio maana kuna toba...Au hujui hilo...Kwa hiyo utatenda mabaya wakati wote kwa sabab mungu ni Pendo!
Jaribu kusoma biblia uujue ukweli!
Hebu nijibu na wewe... Unajua dhima na mudhui ya kitabu cha Ufunuo..! Historia yake waijua. .Jibu hapa kwanza ili tuende sawa....Kasome kitabu chote kwa sabab ni series ya matukio!
Alisoma moja ya vitabu vya Biblia..??? Wakati wa Yesu kulikuwa na Biblia..?? Au hujui maana ya Biblia....?Pole sana hata history ya biblia huijui na hata biblia, Nenda kasome injili (Mathayo) utagungunduo hata yesu alisoma moja ya vitabu vya biblia!
Ungekuwa unaijua historia ya ukusanyaji wa Biblia ungesitisha kuwa Msabato mara moja..Pole sana hata history ya biblia huijui na hata biblia, Nenda kasome injili (Mathayo) utagungunduo hata yesu alisoma moja ya vitabu vya biblia!
Una uhakika na hiki ulichoandika...??? Hahahaha...Kanisa lifiche biblia waliyobuni wao..?? Ili iweje..? Hebu nipe ushihidi jadidi hapa ni lini na ninani alihusika kuficha biblia..Angalia nisihe ukaumbuka na stori za vijiweni au lesson..
Halafu hakuna kitu kinaitwa "Roman Catholic" hii sijui umeitoa wapi..
Halafu ni ukweli gani huo ulifichwa na kanisa katoliki...???
Biblia imekamilika mwaka 300 AD chini ya mtaguso wa Efeso vikiwa na idadi ya vitabu 72 au 73...Martin Luther kwa ushetani ulimuoingia akapunguza vitabu vya agano la kale..
Alisoma moja ya vitabu vya Biblia..??? Wakati wa Yesu kulikuwa na Biblia..?? Au hujui maana ya Biblia....?
Hebu nijibu na wewe... Unajua dhima na mudhui ya kitabu cha Ufunuo..! Historia yake waijua. .Jibu hapa kwanza ili tuende sawa....
Hii mbona haina ubishi....Biblia ni ubunifu na mali ya Kanisa Katoliki...hii ni upende au usipende...Biblia imetungwa na Catholics duuh! Huwez Kuwa sio kitasa
Ungekuwa unaijua historia ya ukusanyaji wa Biblia ungesitisha kuwa Msabato mara moja..
Usikute mamuscript za Ellena White ndio unaita Biblia...[/QUOTE.
Kabla ya Kuwa msabato nilikuwa mkatoliki kama ww nalijua kanisa lako kuliko unavyohisi ww, lakini baada ya kusoma biblia nikagundua nipo kwenye shimo nikaamua kutoka!
Sasa nikuulizi kitu...Hiyo Biblia ilikuwa na mfumo (Canon) ipi...???Biblia ni mkusanyiko wa vitabu (ukitaka kujua zaid nenda wkipedia)
Tumewazoe nyie nyumbu kujetetea ati ulikuwa Mkatoliki....Biblia imetungwa na Catholics duuh! Huwez Kuwa sio kitasa
Hii mbona haina ubishi....Biblia ni ubunifu na mali ya Kanisa Katoliki...hii ni upende au usipende...
Period...
Mm ni mkristu, mfuasi wa kristu.Nashika sabato kwasababu kristu aliishika!Tumewazoe nyie nyumbu kujetetea ati ulikuwa Mkatoliki....
Yes nikichokuwa nataka kukipata nimekipata sasa.. Kumbe wewe ni mfuasiwa Yule kibibi wa Marekani Ellena G White aliyeuwa watu kule Marekani(Great Disappointment) pamoja na genge la Wahuni wenzake kina William Miller
Ndivyo ulivyofundishwa kwenye lessoni..??Kitabu cha ufunuo wa yohana ni kitabu cha unabii alichopewa yohana(mwanafunz wa yesu) alipokuwa katika kisiwa cha patmo ambacho dhima yake kubwa ni kuelezea na kutahadharisha wanadamu juu ya yakayotokea katika dunia hii!
Sasa nikuulizi kitu...Hiyo Biblia ilikuwa na mfumo (Canon) ipi...???
Kumbuka Waebrania hawakuwa na Canon maalum ya vitabu vyao...??
Aliyekudanganya kuwa Wasabato (cult) ni Wakristo ni nani. ???Mm ni mkristu, mfuasi wa kristu.Nashika sabato kwasababu kristu aliishika!
Umekisoma kwenye biblia kwanza au unabisha tu? Kama una biblia Soma uone utangulizi wake!Ndivyo ulivyofundishwa kwenye lessoni..??
Ndio maana nilihisi nahadiliana na vichaa wa Kusabato...
Halafu Yohana hakupewa kitabu...? Hii umetoa wapi we mfuasi wa Hellena..
Upo tayari nikupe somo la hiki kitabu...
Nani alikuwa Responsible na ukusanyaji huo..? Mwaka gani biblia ilimalizika kukusanywa..ndio maan nikakuambia biblia ni mkusanyiko vitabu vilikuwa katika mfumo wa nyaraka zilizojitenga zimekusanywa zikaunda biblia!