Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Hili swali nimeliuliza ila sipewi majibu mujarab...

Hivi biblia unayoizungumzia ni ipi. ?? Au ni hii Biblia ambayo ni mali na ubunifu wa Kanisa Katoliki...??

Hawa wakatoliki ni ma-genius....Yani unatumia material yao kuwakosoa.. Ndio maana wapo kimya wameamua kuwadharau

Pole sana hata history ya biblia huijui na hata biblia, Nenda kasome injili (Mathayo) utagungunduo hata yesu alisoma moja ya vitabu vya biblia!
 
Pole sana hata history ya biblia huijui na hata biblia, Nenda kasome injili (Mathayo) utagungunduo hata yesu alisoma moja ya vitabu vya biblia!
Alisoma moja ya vitabu vya Biblia..??? Wakati wa Yesu kulikuwa na Biblia..?? Au hujui maana ya Biblia....?
 
Pole sana hata history ya biblia huijui na hata biblia, Nenda kasome injili (Mathayo) utagungunduo hata yesu alisoma moja ya vitabu vya biblia!
Ungekuwa unaijua historia ya ukusanyaji wa Biblia ungesitisha kuwa Msabato mara moja..

Usikute mamuscript za Ellena White ndio unaita Biblia...
 
Una uhakika na hiki ulichoandika...??? Hahahaha...Kanisa lifiche biblia waliyobuni wao..?? Ili iweje..? Hebu nipe ushihidi jadidi hapa ni lini na ninani alihusika kuficha biblia..Angalia nisihe ukaumbuka na stori za vijiweni au lesson..

Halafu hakuna kitu kinaitwa "Roman Catholic" hii sijui umeitoa wapi..

Halafu ni ukweli gani huo ulifichwa na kanisa katoliki...???

Biblia imekamilika mwaka 300 AD chini ya mtaguso wa Efeso vikiwa na idadi ya vitabu 72 au 73...Martin Luther kwa ushetani ulimuoingia akapunguza vitabu vya agano la kale..

Biblia imetungwa na Catholics duuh! Huwez Kuwa sio kitasa
 
Hebu nijibu na wewe... Unajua dhima na mudhui ya kitabu cha Ufunuo..! Historia yake waijua. .Jibu hapa kwanza ili tuende sawa....

Kitabu cha ufunuo wa yohana ni kitabu cha unabii alichopewa yohana(mwanafunz wa yesu) alipokuwa katika kisiwa cha patmo ambacho dhima yake kubwa ni kuelezea na kutahadharisha wanadamu juu ya yakayotokea katika dunia hii!
 
Ungekuwa unaijua historia ya ukusanyaji wa Biblia ungesitisha kuwa Msabato mara moja..

Usikute mamuscript za Ellena White ndio unaita Biblia...[/QUOTE.
Kabla ya Kuwa msabato nilikuwa mkatoliki kama ww nalijua kanisa lako kuliko unavyohisi ww, lakini baada ya kusoma biblia nikagundua nipo kwenye shimo nikaamua kutoka!
 
Biblia imetungwa na Catholics duuh! Huwez Kuwa sio kitasa
Tumewazoe nyie nyumbu kujetetea ati ulikuwa Mkatoliki....

Yes nikichokuwa nataka kukipata nimekipata sasa.. Kumbe wewe ni mfuasiwa Yule kibibi wa Marekani Ellena G White aliyeuwa watu kule Marekani(Great Disappointment) pamoja na genge la Wahuni wenzake kina William Miller
 
Mm ni mkristu, mfuasi wa kristu.Nashika sabato kwasababu kristu aliishika!
 
Kitabu cha ufunuo wa yohana ni kitabu cha unabii alichopewa yohana(mwanafunz wa yesu) alipokuwa katika kisiwa cha patmo ambacho dhima yake kubwa ni kuelezea na kutahadharisha wanadamu juu ya yakayotokea katika dunia hii!
Ndivyo ulivyofundishwa kwenye lessoni..??

Ndio maana nilihisi najadiliana na vichaa wa Kisabato...

Halafu Yohana hakupewa kitabu...? Hii umetoa wapi we mfuasi wa Hellena..

Upo tayari nikupe somo la hiki kitabu...
 
Sasa nikuulizi kitu...Hiyo Biblia ilikuwa na mfumo (Canon) ipi...???

Kumbuka Waebrania hawakuwa na Canon maalum ya vitabu vyao...??

ndio maan nikakuambia biblia ni mkusanyiko vitabu vilikuwa katika mfumo wa nyaraka zilizojitenga zimekusanywa zikaunda biblia!
 
Mm ni mkristu, mfuasi wa kristu.Nashika sabato kwasababu kristu aliishika!
Aliyekudanganya kuwa Wasabato (cult) ni Wakristo ni nani. ???

The Four cult religion on Earth..

Seventh Day Adventist
Mormon
Jehova Witness
Christian scientologist...........Kama ulikuwa hujui
 
Ndivyo ulivyofundishwa kwenye lessoni..??

Ndio maana nilihisi nahadiliana na vichaa wa Kusabato...

Halafu Yohana hakupewa kitabu...? Hii umetoa wapi we mfuasi wa Hellena..

Upo tayari nikupe somo la hiki kitabu...
Umekisoma kwenye biblia kwanza au unabisha tu? Kama una biblia Soma uone utangulizi wake!
 
ndio maan nikakuambia biblia ni mkusanyiko vitabu vilikuwa katika mfumo wa nyaraka zilizojitenga zimekusanywa zikaunda biblia!
Nani alikuwa Responsible na ukusanyaji huo..? Mwaka gani biblia ilimalizika kukusanywa..

Halafu huhanijubu swali....Ni Canon gani ya Biblia Yesu alutumia kipindi hicho....Maana umesema Yesu alisoma biblia...
 
Back
Top Bottom