Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Sikuona sehemu akikutongoza zaidi ya kuacha business card.

Lipia tangazo...
Sikuweza kuandika maneno yote aliyosema wakati nikiwa nakula. Muda wa kuandika wala wa wewe kusoma usingetosha. Alinitongoza.

Andika na hiyo namba ya kulipia tangazo.
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Napenda kusikia nini wanawake wanataka kutoka kwa wanawake wenyewe kuliko wanaume. Mmojawapo ni wewe kwa sasa na kuna dada wa Ghana huwa naangalia maoni yake YouTube "Jessica Opare Saforo(Jessica OS)". Ana mawazo mazuri sana ya nini mwanaume afanye kwa mwanamke ili kuumiliki moyo wake.

"Let others talk about you bila wewe kutia neno"
 
"Haina shida." Nikajibu.
Wewe umemlaumu bure mtu wa watu! Hukugundua tu kwamba umekaa na Mhaya, ndo zao hizo! [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Napataje hiko kitabu ?
 
Napenda kusikia nini wanawake wanataka kutoka kwa wanawake wenyewe kuliko wanaume. Mmojawapo ni wewe kwa sasa na kuna dada wa Ghana huwa naangalia maoni yake YouTube "Jessica Opare Saforo(Jessica OS)". Ana mawazo mazuri sana ya nini mwanaume afanye kwa mwanamke ili kuumiliki moyo wake.

"Let others talk about you bila wewe kutia neno"
Yuko vizuri sana huyo jessica
 
James usikasirike. Endelea tu kutongoza. Utawapata wengi na kuwala. The Rule of Dating states that "The More You Approach Girls, The More Goals You Score".
The more you spend.
 
Karibu chama la bachelor, ukinipenda, namaliza leo leo tu
Siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu
Hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale
Money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe, na wewe​
 
Back
Top Bottom