Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda kusikia nini wanawake wanataka kutoka kwa wanawake wenyewe kuliko wanaume. Mmojawapo ni wewe kwa sasa na kuna dada wa Ghana huwa naangalia maoni yake YouTube "Jessica Opare Saforo(Jessica OS)". Ana mawazo mazuri sana ya nini mwanaume afanye kwa mwanamke ili kuumiliki moyo wake.Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Wewe umemlaumu bure mtu wa watu! Hukugundua tu kwamba umekaa na Mhaya, ndo zao hizo! [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
Vishoka wa mapenzi haoMbona wengine wanavutwa simple tu bila hata kutumia nguvu
Napataje hiko kitabu ?Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Bro tena???. Tujitahidi kusoma hbr nzima na kuielewa.Bro umetisha sana
Hiiki alieleza sana tofauti ya mwanaume na mwanamke wakiwa katika mahusiano.
Yuko vizuri sana huyo jessicaNapenda kusikia nini wanawake wanataka kutoka kwa wanawake wenyewe kuliko wanaume. Mmojawapo ni wewe kwa sasa na kuna dada wa Ghana huwa naangalia maoni yake YouTube "Jessica Opare Saforo(Jessica OS)". Ana mawazo mazuri sana ya nini mwanaume afanye kwa mwanamke ili kuumiliki moyo wake.
"Let others talk about you bila wewe kutia neno"
The more you spend.James usikasirike. Endelea tu kutongoza. Utawapata wengi na kuwala. The Rule of Dating states that "The More You Approach Girls, The More Goals You Score".
Ukimsikiliza huwezi kuwa na papara na mamboYuko vizuri sana huyo jessica
Nope, nope, nopeAttractive,anayejiamini na kujielewa
Hiiki alieleza sana tofauti ya mwanaume na mwanamke wakiwa katika mahusiano.