Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
ok.🦬Hamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.
Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.
Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.
Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.
Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Hatari sana.
Pigia msitari hapoHakuna marefu yasiyo na Ncha
Wiki hii haitaisha jamaa atakuwa njePigia msitari hapo
Tumuombee sana atoke, maana kesi yake inatia aibu nchi.Wiki hii haitaisha jamaa atakuwa nje
Mwisho wa maji tope. Na ccm kila mbinu chafu wanazozifanya juu ya Lissu zitaisha na kupotea.
Kabla ya Ijumaa atakuwa nje, Nchi imechafuka sio kidogo kwa uzembe wa majuhaTumuombee sana atoke, maana kesi yake inatia aibu nchi.
Uzuri sasa hivi sio kama zama zile za Giza ambazo bwana Nyerere alikuwa anasikiliza taarifa za habari za huko duniani anakuja kutwambia kaoteshwa
Huyo Lisu wameshamshindwa. Na hawana jinsi zaidi ya kumuachia kwa sasa. Kwa taarifa hata jamuhuri imeshachoka maana hawawezi hata kupeleka tena ushahidi wa uongo mahakama kuu. Na deadline ya Common Wealth unakaribia. Sasa hivi inabidi kuficha aibu wajifanye Lisu kaomba mazungumzo na Samia kitu ambacho ni uongo wa wazi.Hamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.
Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.
Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.
Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.
Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Hatari sana.
Huyo Lisu wameshamshindwa. Na hawana jinsi zaidi ya kumuachia kwa sasa. Kwa taarifa hata jamuhuri imeshachoka maana hawawezi hata kupeleka tena ushahidi wa uongo mahakama kuu. Na deadline ya Common Wealth unakaribia. Sasa hivi inabidi kuficha aibu wajifanye Lisu kaomba mazungumzo na Samia kitu ambacho ni uongo wa wazi.
Wengi, Siku za nyuma ilikuwa inaonekana hakuna mbadala wa Slaa. Lakini Lisu ameonekana ni zaidi ya Slaa pamoja na kukitumikia cheo chake kipya kwa kipindi cha chini ya miezi mitatu tu.Ni sahihi.
CHADEMA wanaakiba ya watu wa kariba ya Lisu?
Sio lazima yeye binafsi ashike dola, hata kuleta tu mabadiliko ya kuelekea huko inatosha. Na kwa taarifa yako kwa msimamo wake lazima mabadiliko ya msingi yapatokane taka wasitake.Sahihi.
Lakini nafikiri Lisu atakuwa msafisha njia. Wazo la yeye kushika Dola kwa kweli hilo litakuwa muujiza zaidi ya ze risasi 16
Huyo ni baadhi ya waathirika wa siasa za majitaka za ccm.So, hoja yako ni kuwa haya anayofanya Lissu ni kwa ajili ya wazungu?
Umma ulio nyuma ya Lissu ndio utaamua hatima yake na siyo vinginevyo.Hamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.
Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.
Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.
Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.
Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Hatari sana.
Hata kipindi cha Bwana Slaa pia wapo walioamini misimamo yake akapita akaja bwana DJ wakamuona ana misimamo Hadi kuingia kwenye kesi ya ugaidi na sasa ni zamu ya fundi wa sheria TAL.Kwa hiyo CHADEMA Bado naona Ina vyuma vingi vya kazi alafu ukiangalia sasa hivi Hawa jamaa wa mbogamboga bila kutumia Dola hawana ujanjaNi sahihi.