Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

Mkuu Lisu ni mtu kama watu wengine. Anazeeka, anachoka, wadhamini wake hubadilika. Hilo weka kwenye akili pia
Mbona umejishikilia sana hapo kwa wadhamini kuchoka as if unaweza kututajia hao wadhamini?
Watanganyika ndio wadhamini wakuu wa Lisu na hawatabadilika hadi wapate mabadiliko wanayoyataka!
 
Hamjambo!

Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.

Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.

Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.

Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.

Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.

Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.

Hatari sana.
Hawana ubavu huo kwani wanao wakopesha wamekasirika hivyo wamesema hawatoi mikopo hadi Lissu awe uraiani
 
Hamjambo!

Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.

Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.

Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.

Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.

Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.

Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.

Hatari sana.
This is the gravest strategic mistake CCM has ever made. Chuki ya Watanzania dhidi ya CCM is at an all-time high and continues to grow astronomically.

It’s hard to imagine that CCM will survive the current political storm!
 
Kwa sasa Ana miaka 58 mbona bado sana hata wakimchelewesha mpaka mwaka 2028 atakuwa na 60 ambayo kisiasa bado Ana weza kuleta challenge kama atakuwa na uhai mpaka 70 anything can happen,,,tatizo la ccm wakipataga mpinzani kama lissu au lowasa wanakuwaga wajanja wanachagua chuma kama magufuli type
 
Huyo Lisu wameshamshindwa. Na hawana jinsi zaidi ya kumuachia kwa sasa. Kwa taarifa hata jamuhuri imeshachoka maana hawawezi hata kupeleka tena ushahidi wa uongo mahakama kuu. Na deadline ya Common Wealth unakaribia. Sasa hivi inabidi kuficha aibu wajifanye Lisu kaomba mazungumzo na Samia kitu ambacho ni uongo wa wazi.
akitoka atahangaika sana na Afya kuliko siasa.

Maek my word.

Jabaa boya sana
 
Kuendelea kumuweka lissu ndani kwa sasa ni sawa na kushika kaa la moto na hilo kaa la moto halipoi.

Profesa anayejielewa, Tibaijuka kawaeleza ukweli.

Option iliyobaki ni moja tu. Kumuachilia na kupambana naye ulingoni hata kwa hoja za kubumba.

Wakiendelea na hizi yadayada na drama, hatari ni kubwa sana. Kubwa kwelikweli.
 
Brother kwenye siasa bado sana huja excel kwa uchambuzi,kiufupi uhai wa siasa za Tanzania kwa sasa kwa 99% inategemea maamuzi ya Lissu.
Yeye kuendelea kuwa ndani ni risk katika siasa ya CCM.
Ngoja nikupe mfano kidogo,Je imetokea uchaguzi kesho-je uchaguzi huo unaweza kufanyika kwa amani.Jibu ni No labda uamue kutumia tena force ambapo hatari yake imeonekana-mtawala gani anaweza risk hicho kitu tena? Je wanaomuzunguka watakubali.

Kama Lissu ataweza ku hold hadi mwaka 2029 au 2030,brother hali itakuwa mbaya kwa upande wa CCM.hiyo kete ya muda kisiasa inamunufaisha Lissu kuliko CCM.
📌
 
Back
Top Bottom