Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
lissu is no- mud..mahasimu wake nao si wanachoka, na kuzeeka kama yeye?
lissu is no- mud..mahasimu wake nao si wanachoka, na kuzeeka kama yeye?
Aiseee,Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Kwa sasa Ana miaka 58 mbona bado sana hata wakimchelewesha mpaka mwaka 2028 atakuwa na 60 ambayo kisiasa bado Ana weza kuleta challenge kama atakuwa na uhai mpaka 70 anything can happen,,,tatizo la ccm wakipataga mpinzani kama lissu au lowasa wanakuwaga wajanja wanachagua chuma kama magufuli type
Kwa sasa Ana miaka 58 mbona bado sana hata wakimchelewesha mpaka mwaka 2028 atakuwa na 60 ambayo kisiasa bado Ana weza kuleta challenge kama atakuwa na uhai mpaka 70 anything can happen,,,tatizo la ccm wakipataga mpinzani kama lissu au lowasa wanakuwaga wajanja wanachagua chuma kama magufuli type
Kwa sasa Ana miaka 58 mbona bado sana hata wakimchelewesha mpaka mwaka 2028 atakuwa na 60 ambayo kisiasa bado Ana weza kuleta challenge kama atakuwa na uhai mpaka 70 anything can happen,,,tatizo la ccm wakipataga mpinzani kama lissu au lowasa wanakuwaga wajanja wanachagua chuma kama magufuli type
So mna expect baada ya yeye kubugia ataondoka duniani lini? Na je ndio sisiem itapendwa na watu lissu akiondoka?sio Tishio ila kwa uboya wake alibugia sikipodi
Inaenda sambamba na kugawa makizetu Kwa waarabu wauwaji waliotuuza wakati wa ukoloni na kukosa misaada muhimu Kwa jamiiHamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.
Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.
Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.
Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.
Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Hatari sana.
Chuki za Watanganyika kwa CCM na Samia ni za wazi kwa kila mwenye akili Timamu. Ule umma unaohudhuria mikutano ya Chadema huku wakiichangia hela ni ishara ya chuki hiyo, wale wanaohudhuria siyo wote ni wanachadema bali ni watu walioichoka CCM na Samia wake, na moja ya sababu kubwa ya chuki hii ni hiki kitendo cha kumsingizia Lissu kuwa ni mhaini na kumweka kizuizini na sababu nyingi ikiwa ni yale mauaji ya maelfu ya Watanganyika waliouwawa na dola 29.10.2025.This is the gravest strategic mistake CCM has ever made. Chuki ya Watanzania dhidi ya CCM is at an all-time high and continues to grow astronomically.
It’s hard to imagine that CCM will survive the current political storm!
Somo walilojifunza Chadema kwa kumpokea Lowassa limewaingia vizuri kamwe hawawezi kuingia mkenge huo tena...mazingira ya 2015 sio ya sasa hivi, au 2030.
..hakuna mwanasiasa wa kuisafisha Ccm na umwagaji damu wa OCT 29.
..Lowassa alipelekea wapinzani kula matapishi yao wenyewe, na uwezekano wa wapinzani kurudia kosa hilo ni mdogo sana.
Sawa LAKINI Magufuli alikuja kama muujiza baada ya mafisadi kufarakanaKwa sasa Ana miaka 58 mbona bado sana hata wakimchelewesha mpaka mwaka 2028 atakuwa na 60 ambayo kisiasa bado Ana weza kuleta challenge kama atakuwa na uhai mpaka 70 anything can happen,,,tatizo la ccm wakipataga mpinzani kama lissu au lowasa wanakuwaga wajanja wanachagua chuma kama magufuli type
Hata Mugabe kule south Rodhesia wale collaborators wa wazungu kina Askifu Muzorewa waliamini hivyo lakini mwisho wa siku alikuja kuwa prime minister na kisha President so hoja yako is subject to argument.Sahihi.
Lakini nafikiri Lisu atakuwa msafisha njia. Wazo la yeye kushika Dola kwa kweli hilo litakuwa muujiza zaidi ya ze risasi 16
Ccm hata wafanyeje wameshapigwa mahakamani na nje ya Mahakama siku akitoka ni kuwa makini tu.Umma ulio nyuma ya Lissu ndio utaamua hatima yake na siyo vinginevyo.
Kuta za gereza ni laini kuliko biskuti mbele ya umma ulio nyuma yake.
Usisahau kuwa umma huo unamsoma adui kwa kila hatua na adui keshatepeta anaona aibu kumpa ushindi Lissu.
Wenyewe wametamba kwamba wanategemea misaada kwa 0.9% Tu😀Hawana ubavu huo kwani wanao wakopesha wamekasirika hivyo wamesema hawatoi mikopo hadi Lissu awe uraiani
..mahasimu wake nao si wanachoka, na kuzeeka kama yeye?
Na ndicho kinachofanyika!
Broo soma basi hata historia. Ama umeamua kuchagua upande wa historia ukaacha ule mwingine.?
wanatuona watanzania kama wajingaWenyewe wametamba kwamba wanategemea misaada kwa 0.9% Tu😀
Kuendelea kumuweka lissu ndani kwa sasa ni sawa na kushika kaa la moto na hilo kaa la moto halipoi.
Profesa anayejielewa, Tibaijuka kawaeleza ukweli.
Option iliyobaki ni moja tu. Kumuachilia na kupambana naye ulingoni hata kwa hoja za kubumba.
Wakiendelea na hizi yadayada na drama, hatari ni kubwa sana. Kubwa kwelikweli.
Wewe sio Mungu,kwa nini unajipa kazi ya Mungu
Tayari umeshafanya kazi