Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Wapo.Ni sahihi.
CHADEMA wanaakiba ya watu wa kariba ya Lisu?
Tena wengine wapo ndani ya CCM.
Ulitegemea kuona Polepole anakuwa mwiba mkali kwa viongozi wa CCM hata mbele ya hatari ya kifo?
Wapo.Ni sahihi.
CHADEMA wanaakiba ya watu wa kariba ya Lisu?
Hili swali gumu kwa sababu hakuna utaratibu wa kukuza mifumo bali kukuza watu.
Wapo.
Tena wengine wapo ndani ya CCM.
Ulitegemea kuona Polepole anakuwa mwiba mkali kwa viongozi wa CCM hata mbele ya hatari ya kifo?
Kwa sasa Ana miaka 58 mbona bado sana hata wakimchelewesha mpaka mwaka 2028 atakuwa na 60 ambayo kisiasa bado Ana weza kuleta challenge kama atakuwa na uhai mpaka 70 anything can happen,,,tatizo la ccm wakipataga mpinzani kama lissu au lowasa wanakuwaga wajanja wanachagua chuma kama magufuli type
Unataka kujua au unatafuta majibu uyawasilishe mahali?
This is the gravest strategic mistake CCM has ever made. Chuki ya Watanzania dhidi ya CCM is at an all-time high and continues to grow astronomically.
It’s hard to imagine that CCM will survive the current political storm!
Hawana ubavu huo kwani wanao wakopesha wamekasirika hivyo wamesema hawatoi mikopo hadi Lissu awe uraiani
Wamemtumia Kitila Mkumbo aongee huo ujingaujinga usioaminika hata kwa watoto.Wenyewe wametamba kwamba wanategemea misaada kwa 0.9% Tu😀
Mbona umejishikilia sana hapo kwa wadhamini kuchoka as if unaweza kututajia hao wadhamini?
Watanganyika ndio wadhamini wakuu wa Lisu na hawatabadilika hadi wapate mabadiliko wanayoyataka!
Usijipe kazi kana kwamba umewabebea akili zao hao Watanganyika wote.Mtanganyika aliyekuwa analishwa hofu kwenye miaka ya 1990 hadi 2000 kwa kutumia vita za majirani utamfananisha na yule wa Oktoba 29?Siyo mawe hao!Ni kweli Watanzania waliowengi hawaipendi CCM.
Ni kama miaka 2010-2015.
Lakini Watanzania ni wepesi kusahau.
Alipoingia Magufuli walisahau hata ilipoyeyuka chuki yao. Wengi walimpenda Magufuli sana huku wakisahau, Magufuli ni CCM na CCM ni magufuli kwani alikuwa Mwenyekiti wa CCM
Nasisitiza bado wapo.Huyo Polepole aliyejitokeza baada ya team yake kukaa pembeni?
Tundu Lisu yeye anaweza kukukosoa hata ukiwa Boss wake, na ukiwa umempa nafasi. Ukikosea atakukosoa tuu.
Polepole hayupo kapu moja na watu aina ya Lisu mkuu.
Lisu atakutetea hata kama upo CCM, ilimradi unaonewa atakutetea.
Polepole yeye uliwahi msikia anamtetea mtu wa chama kingine?
Haya huyo Polepole kapotea. Umeona mwanaccm yeyote anazungumzia jambo hilo kwa kukemea na kushinikiza Polepole atafutwe?
Sasa yanini watawala wanalazimisha CCM mfanye maridhiano na cdm?Hizo ni kauli za geresha tuu.
Hao watoa mikopo wenyewe wanafanya biashara.
Wakipewa rasilimali unafikiri watamkumbuka huyo Lisu?
Nani amewawezesha kiuchumi hadi waweze kuchangia bilioni tano kwa masaa machache?Hawajapewa rasilimali za bure na serikali ili waje watumike kuchanga mabilioni kufanikisha mambo ya CCM kama hao wachache wanavyochanga kwa muda mfupi.Watanganyika hao wanaochanga 400M wiki nzima ndio wataweza kuwa wadhamini wa Lissu?
ataendelea kuishi kwa mikwara mbuzi.So mna expect baada ya yeye kubugia ataondoka duniani lini? Na je ndio sisiem itapendwa na watu lissu akiondoka?
haha harusi ya Mfanyabiashara tu hapo KariakooWatanganyika hao wanaochanga 400M wiki nzima ndio wataweza kuwa wadhamini wa Lissu?
Ni kipi kinazuia yeye kuumwa sasa, au hiyo sumu mliyoampa haiwezi kufanya kazi akiwa gerezani?sio Tishio ila kwa uboya wake alibugia sikipodi
Kipi cha kushangaza hapo? Watanzania tuko karibia 70m, tunapewa misaada na Swedeni walioko chini ya 10m, huku tunajisifia tuna raslimali kibao.haha harusi ya Mfanyabiashara tu hapo Kariakoo
Michango week 2 Milion 700.
Chadomo sasa
Na Samia, Nchimbi, Mwigulu, na Mafwele nao ni binadamu pia. Wanazeeka wanachoka na watakufa. Kumbuka hata Magufuli aliwachosha sana adui zake akiwemo huyohuyo Lissu. Yuko wapi sasa?Mkuu Lisu ni mtu kama watu wengine. Anazeeka, anachoka, wadhamini wake hubadilika. Hilo weka kwenye akili pia
haha harusi ya Mfanyabiashara tu hapo KariakooWatanganyika hao wanaochanga 400M wiki nzima ndio wataweza kuwa wadhamini wa Lissu?
Chama pendwa bado mnakusanya michango kama ushuru wa choo cha stendi?Kipi cha kushangaza hapo? Watanzania tuko karibia 70m, tunapewa misaada na Swedeni walioko chini ya 10m, huku tunajisifia tuna raslimali kibao.