Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

Sio lazima yeye binafsi ashike dola, hata kuleta tu mabadiliko ya kuelekea huko inatosha. Na kwa taarifa yako kwa msimamo wake lazima mabadiliko ya msingi yapatokane taka wasitake.
Huyu njemba ni mweupe mno kwenye medali ya siasa
 
Brother kwenye siasa bado sana huja excel kwa uchambuzi,kiufupi uhai wa siasa za Tanzania kwa sasa kwa 99% inategemea maamuzi ya Lissu.
Yeye kuendelea kuwa ndani ni risk katika siasa ya CCM.
Ngoja nikupe mfano kidogo,Je imetokea uchaguzi kesho-je uchaguzi huo unaweza kufanyika kwa amani.Jibu ni No labda uamue kutumia tena force ambapo hatari yake imeonekana-mtawala gani anaweza risk hicho kitu tena? Je wanaomuzunguka watakubali.

Kama Lissu ataweza ku hold hadi mwaka 2029 au 2030,brother hali itakuwa mbaya kwa upande wa CCM.hiyo kete ya muda kisiasa inamunufaisha Lissu kuliko CCM.
huyo jamaa anaongea kama kina mwamshamba
 
Wanamuweka ndani, huku wakifanya makubaliano na wale wadhamini na wanaomsapoti Tundu Lisu. Yaani mabeberu
We jamaa bwana zamani ulikua mchambuzi mzuri siku hizi umejaa propaganda tu. Sasa ndio nini hiki umeandika?

Kwahiyo hata tarehe 29 walioandamana kuunga NRNE ya Lissu walikua wazungu?
 
Watanganyika hao wanaochanga 400M wiki nzima ndio wataweza kuwa wadhamini wa Lissu?
Kwani Lissu ana utajiri gani hadi uone ana support kubwa ya wazungu? Mbowr bilionea hakuwahi sema anapewa na mabeberu ila Lissu ambaye sio tajiri ndio unaona anafadhiliwa na wazungu?

Acha propaganda za kitoto
 
haha harusi ya Mfanyabiashara tu hapo Kariakoo

Michango week 2 Milion 700.

Chadomo

Chama pendwa bado mnakusanya michango kama ushuru wa choo cha stendi?

Chadema wana viongozi 3000 nchi nzima na bado milion 300 inawatesa😂
Kumbe unaongelea matajiri, chadema inachangiwq na maskini wa buku buku au unadhani kuna tajiri gani ana uchungu na mabadiliko ilihali uwepo wa CCM ni chaka la kuiba.

Kwanza hata akiwepo wa kuchanga anaweza akatekwa. Ona tu Nilesh alivyosingiziwa tu kachanga katukanwa kila kona na CCM.
 
Gereza ndio chuo kikuu cha wanasiasa Africa.

Bila kupita kwenye hilo tanuru wewe bado hujagraduate.

This is Africa brother.
 
Lissu anatatizwa kwa maovu/ makosa yake

Aliahidi kukinukisha watu zaidi ya 500+ wakafariki ndio hilo anawajibika nalo
 
Somo walilojifunza Chadema kwa kumpokea Lowassa limewaingia vizuri kamwe hawawezi kuingia mkenge huo tena.

..Na bahati mbaya Ccm haina mtu anayeaminika ktk masuala yanayoisibu jamii ya Watanzania sasa hivi.

..Ccm wamejitumbukiza ktk lawama ambazo hakuna mwana Ccm anayeweza kuwanasua, na kuwasafisha, mbele za wananchi.
 
..Na bahati mbaya Ccm haina mtu anayeamini ktk masuala yanaisibu jamii ya Watanzania sasa hivi.

..Ccm wamejitumbukiza ktk lawama ambazo hakuna mwana Ccm anayeweza kuwanasua, na kuwasafisha, mbele za wananchi.
Hii ndiyo watoto wa mjini wanasema wameyatimba.
 
Lissu anatatizwa kwa maovu/ makosa yake

Aliahidi kukinukisha watu zaidi ya 500+ wakafariki ndio hilo anawajibika nalo

..TL hakuwa mtoa amri kwa wahusika waliofanya mauaji ya watu 500+, watoto wakiwa miongoni mwao.

..Na waliotwanga watu risasi ni genge linalomuunga mkono Ssh, na liko kinyume na TL.
 
Ni kweli Watanzania waliowengi hawaipendi CCM.
Ni kama miaka 2010-2015.
Lakini Watanzania ni wepesi kusahau.
Alipoingia Magufuli walisahau hata ilipoyeyuka chuki yao. Wengi walimpenda Magufuli sana huku wakisahau, Magufuli ni CCM na CCM ni magufuli kwani alikuwa Mwenyekiti wa CCM
Nadhani zipo tofauti kubwa za msingi. Chuki ya enzi za awamu ya nne ilikuwa ya kishikaji tu (utawala wa kisanii sanii na kutamalaki kwa ufisadi). This time around, chuki ya Watanzania imekuwa buttressed na maumivu yaliyosababishwa na ukatili mkubwa wa Serikali. Watanzania wamepata makovu ambayo hayawezi kufutika. Kuna familia bado zinaendelea kulia. Mbaya zaidi, Serikali ya mazafakas wa CCM haijajutia maumivu ambayo imewasababishia Watanzania. If anything, inaendelea kusababisha maumivu zaidi.

I am sure we aren’t going to forget anytime soon!
 
Back
Top Bottom