Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

Utashangaa qanasifia Democracia afu hatavmkutano wa Mjumbe hawaruhusiwi kufanya.

Na hawana uwezo w kufanya.

Ila Mimi naona hata SSH akisimama peke yake watu hawatoka kwenda kupiga kura. Na wakipiga kura atashindwa.

Wanawake wenzie hawamuelewi kabisa.
 
Jisemee wewe na mmeo kama umeolewa - sisi wananchi maana yake nini? unajimwambafai bure acha bhana
 
Jisemee wewe na mmeo kama umeolewa - sisi wananchi maana yake nini? unajimwambafai bure acha bhana
Angalia idadi ya wapiga kura ya 2020, na angali chaguzi za marudio zilivyopuuzwa. Na hiyo 2025 ndio mtatafuta wapiga kura kwa torch mchana.
 
Angalia idadi ya wapiga kura ya 2020, na angali chaguzi za marudio zilivyopuuzwa. Na hiyo 2025 ndio mtatafuta wapiga kura kwa torch mchana.
Hii mbona inaeleweka dunia nzima hakuna mtu mwenye akili timamu anaenda kupiga kura siku hizi labda kama huna cha kufanya na unamaslahi au ndiyo mara yako ya kwanza kupiga kura. Nawashanga sana nyinyi mnaowaza hili kila siku- oho tume ya uchaguzi sijui nini. Mkuu kati ya hivyo hakuna kinacholeta ugali na matembele mezani.
 
Kwahiyo kwenye maisha yako wewe unawaza kula tu. Nyie ndio wale mnaoishi ili mle.
 
upinzan hauna mda wa kupigania mapumbavu ya tanzania yasiyojielewa.
 
Moja ya mbinu zao ni hiyo ya kuwatumia wachumia tumbo wakubwa wa vyama vya upinzani.
Kama unafikiria kuwa kuna mpinzani au mwanasiasa ambae atakukomboa ujue unajidanganya sana.
mpinzani yupi anayejielewa atapigania wapumbavu wanaoambiwa kupigania haki zao zilizoporwa yamekaa tu kama mazezeta.
 
Wana ccm, nawashaurini; msifuni Mwenyezi mungu mpate thawabu.
haya mambo ya kumtukuza binadamu hata kuzidi Mwenyezi Mungu ni hatari sana na ni kufuru!
Kwani akili zenu mmefungia wapi? Mna matatizo gani? tubuni na kuungama dhambi zenu!
 
Mbowe lamba asali utakavyo jasho lako tu.elishuhudia kwamacho kamanda hawa mbwa wanao andikaandika wasio nauwezo wakutoka nje kuleta kashkash hawana maana tunakua ulitumia rasilimali zafamilia naukoo wenu pamoja naukweni kuinua chama chetu pendwa ila wafuasi wako bado niwaoga nawapumbavu kwaviwango visivyo pimika nahata siku moja usije kubali kufa ukauacha ukoo wenu ukinuka umasikini nahali mbaya kwaajili yawapuuzi wasio saidika waoga wanafiki wenye chuki pandikizwa yote kwa yote piga hela zako nakama inawexekana washauli serikali waweke tozo Kila Kona ikiwezekana hata oxygen tuanze kuilipia kwamaana hakuna chakuokota hapo akili zitaanza kutukaa sawa
Yote kwa yote nakutakia afya njema namapambano mema ktk familia yako mungu akutie nguvu
 
Wana ccm, nawashaurini; msifuni Mwenyezi mungu mpate thawabu.
haya mambo ya kumtukuza binadamu hata kuzidi Mwenyezi Mungu ni hatari sana na ni kufuru!
Kwani akili zenu mmefungia wapi? Mna matatizo gani? tubuni na kuungama dhambi zenu!
Hivi umesoma mada kweli au umekimbilia kuona kile kipengele cha mungu wenu wa chama kwenda ikulu mara mbili kupokea bahasha ili kutaka chama chake kisishiriki uchaguzi wa 2025?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…