Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Na ndio maana uozo wa CCM ili ukomeshwe ni lazima ifumuliwe kutokea ndani na sio upinzani njaa wa chadema na ACT rejea "Trojan Horse".#njaahainabaunsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Nimedindisha KWELI!
Jisemee wewe na mmeo kama umeolewa - sisi wananchi maana yake nini? unajimwambafai bure acha bhanaKwa taarifa yako sisi wananchi tumeshalipuuza box la kura, na wala sio kwa maelezo ya Mbowe ama Zito. Hakuna mtu anayejitambua atakubali kwenda kupanga mstari kwenye box la kura zisizoheshimiwa. Hata CDM au ACT wakubali kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi, bado sisi wapiga kura hatutakuwa na muda mchafu kwenda kupiga kura chini ya tume hii na katiba hii.
Machafuko au mapinduzi pekee ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Hivyo tegemea idadi ndogo sana ya watu wasiojitambua kupanga mstari kwenye box la kura kupoteza muda.
Sahihi kabisa mkuuKwa aina hii ya viongozi wa upinzani butu tuliokuwa nao, CCM bado iko madarakani kwa zaidi ya miaka 50 ijayo kama alivyosema Lowasa katika uchaguzi mkuu wa 2015.
Angalia idadi ya wapiga kura ya 2020, na angali chaguzi za marudio zilivyopuuzwa. Na hiyo 2025 ndio mtatafuta wapiga kura kwa torch mchana.Jisemee wewe na mmeo kama umeolewa - sisi wananchi maana yake nini? unajimwambafai bure acha bhana
Hii mbona inaeleweka dunia nzima hakuna mtu mwenye akili timamu anaenda kupiga kura siku hizi labda kama huna cha kufanya na unamaslahi au ndiyo mara yako ya kwanza kupiga kura. Nawashanga sana nyinyi mnaowaza hili kila siku- oho tume ya uchaguzi sijui nini. Mkuu kati ya hivyo hakuna kinacholeta ugali na matembele mezani.Angalia idadi ya wapiga kura ya 2020, na angali chaguzi za marudio zilivyopuuzwa. Na hiyo 2025 ndio mtatafuta wapiga kura kwa torch mchana.
Hii mbona inaeleka duni nzima hakuna mtu mwenye akili timamu anaenda kupiga kura siku hizi labda kama huna cha kufanya na unamaslahi au ndiyo mara yako ya kwanza kupiga kura. Nawashanga sana nyinyi mnaowaza hili kila siku- oho tume ya uchaguzi sijui nini. Mkuu kati ya hivyo hakuna kinacholeta ugali na matembele mezani.
ndiyo vingine vyote ni anasaKwahiyo kwenye maisha yako wewe unawaza kula tu. Nyie ndio wale mnaoishi ili mle.
upinzan hauna mda wa kupigania mapumbavu ya tanzania yasiyojielewa.Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.
Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana nae ubavu mwaka 2025, sasa amehamisha mikakati yake ya ushindi kwa viongozi wakuu wawili wa vyama vyetu vikuu vya upinzani.
Viongozi hao ambao ndio nguzo kuu ya vyama vyao, tayari wameshatengenezwa kimkakati na mmoja wao aliwahi kuitwa mara mbili katika lile jumba jeupe la taifa na kukabidhiwa bahasha yake kimya kimya kama ishara ya shukran kwa makubaliano yao waliofikia na mama huyo wa nyumba yetu pendwa.
Viongozi hao licha ya account zao kuvimbishwa ili kupata nguvu ya kukamilisha walichopanga, lakini pia walihakikishiwa ulinzi wa maisha yao, ulinzi wa familia zao, ulinzi wa mali zao na pia kufutiwa kesi zao nk.
Mkakati huo utatimiaje, sasa fuatilia vizuri kile ninachoandika hapo chini 👇
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikiitaka serikali itengeneze katiba mpya ambayo wanahisi itaweza kuwasaidia wao kushinda chaguzi mbali mbali na hatimae na kushika dola. Lakini kwa upande mungine pia wanaitaka serikali iifumue tume iliyopo na kuunda tume nyingine "huru" ambayo itawashirikisha wadau wote kwa ukaribu zaidi.
Kwahiyo sasa haya mambo mawili ya "katiba" na "tume huru" ndio yatakayotumiwa na wasukaji wa mpango huo kama kichochoro cha kutimiza mikakati ya ushindi wa mama huyo mwenye nyumba.
Inasemekana kitachofanyika ni kwamba serikali itaendelea na msimamo wake wa kutokuwa tayari kutengeneza katiba mpya wala kuunda tume huru, baada ya hapo kiongozi mmoja "mlamba asali mkongwe" wa upinzani atajifanya kuchukizwa na hali hiyo, kisha atatumia uwezo wake na madaraka yake makubwa katika chama kuwashawishi wenzake ambao asilimia kubwa ameshawatia mfukoni, kwamba wasusie uchaguzi wowote utakaofanyika nchini.
Wakishakubaliana kususia inamaana ushindani wa vyama vingine vya upinzani vilivyopo utakuwa mdogo sana hivyo kumpa mama mwenye nyumba fursa ya kuendelea kutawala yeye na bunge lake kama ilivyo sasa.
Yule kiongozi mungine ambae anatokea katika mkoa uliyopo pembezoni mwa ziwa fulani, atabaki kupewa nafasi ya kubwabwaja bwabwaja pale inapobidi ili kuwafunga macho wale wasiojua kile kinachoendelea katika siasa za nyumbani kwetu.
Dalili za mipango hiyo zimeshaanza kuonekana kwa viongozi hao kutia zip midomo yao, na mmoja wao kufikia hatua ya kwenda kumfagilia mama mwenye nyumba huko katika dunia ya kwanza.
Hii mada ni kwa ajili ya wale watu ambao wako huru kifikra na ki akili, wale ambao wanaona mbali na hawana mihemko ya kisiasa.
Hakika "moyo wa mtu msitu", unachokipanga wewe, sio kile anachokipanga mwenzio. Wakati kuna chawa wanashinda mitandaoni kuwapigania, kuwasifia na kuwafagilia viongozi wao wa vyao, wao wanaopiganiwa, wanaofagiliwa na kusifiwa wako busy kulamba asali kimya kimya na kutelekeza mipango ya vyama vyao kiaina.
Jioni njema wakuu. 🙏
Hapo ndio tatizo lilipo. Sisi wenzio tunakula ili tuishi.ndiyo vingine vyote ni anasa
mpinzani yupi anayejielewa atapigania wapumbavu wanaoambiwa kupigania haki zao zilizoporwa yamekaa tu kama mazezeta.Moja ya mbinu zao ni hiyo ya kuwatumia wachumia tumbo wakubwa wa vyama vya upinzani.
Kama unafikiria kuwa kuna mpinzani au mwanasiasa ambae atakukomboa ujue unajidanganya sana.
Maharage hayahusiani na samiah hi inatokana nahali yamsimu wamavunoMbona akiupata tena urais maharage yatafika kilo sh. 50000.
Hivi umesoma mada kweli au umekimbilia kuona kile kipengele cha mungu wenu wa chama kwenda ikulu mara mbili kupokea bahasha ili kutaka chama chake kisishiriki uchaguzi wa 2025?Wana ccm, nawashaurini; msifuni Mwenyezi mungu mpate thawabu.
haya mambo ya kumtukuza binadamu hata kuzidi Mwenyezi Mungu ni hatari sana na ni kufuru!
Kwani akili zenu mmefungia wapi? Mna matatizo gani? tubuni na kuungama dhambi zenu!
Waambie haoHao fisiemu hata wakiweka jiwe na mlamba asali,litashinda jiwe..
Wana mbinu hao.