Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Acha ujinga.... leta tarehe halisi sio kuruka rukanavojua kuwa hakufariki tarehe kama ya leo hayo mengine wanajua sumaye na mkapa kama wako humu jamvini wanajibu kimoyo kimoyo.
Mkapa aliyepewa report na madaktari kwamba Nyerere amefariki tarehe 14 na Kova aliyetuletea mkenya kuhusika na kumtesa Ulimboka, nani katudanganya?
Sijajua unaposema kufariki unamaanisha nini au unaongelea kwa mtazamo upi, jaribu kupitia maelezo ya gfsonwin kaelezea vizuri sana, kitaalam na kwa ufupi kabisa.
Yawezekana lakini kwa kiongozi wanchi inabidi yafanyike matayarisho ya mazishi hivyo siyo tatizo kukwambia kafa leo wakati alikufa juzi!ni familia yao pekee wanakuwa wanajua!Ni protocol basi ndo ya kulaumiwa siyo Mzee Mkapa!.Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Aina hiyo ya utafiti wa saa dakika na sekunde aliyopumua kwa mara ya mwisho baba nyerere hauna faida yoyote kwa yeyote mwenye akili timamu,utafiti wa maana ni kuangalia aliacha viongozi wa aina gani madarakani,walipoahidi kumuenzi walimaanisha ama walitengeneza tu hotuba tamu,na iwapo kizazi cha viongozi wenye uwezo wa kujenga taasisi na mifumo kipo tena afrika hii ama tumeliwa?
Hivi ni kweli nyerere umeuliwa na mkapa? Tafadhali mheshimiwa mwalimu kama unanisikia nijibu kwa faida ya watanzania. Na utuambie kwanini alikuua?
achene uvivu wa kufikir hv kujua Nyerer alifariki lini kunakusaidia nn wewe na familia yako?