Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !


Ndivyo ilivyo Hata akifa man@ela Lazma tutadanganywa tarehe tu
 
swala siyo alikufa lini?...swala ni nyerere day kila mwaka.........hata kama alikufa may lakini tukaamua nyerere day iwe october bado ni heshima tu kwake. tunatakiwa tumkumbuke kila mwaka haimaanishi lazima iwe siku aliyokufa.
 
si issue sana kufahamu....the fact he is dead inatosha....ingekuwa issue sana kama ungetuambia nyerere yuko somewhere anakula bata na balali!:tape:
 

Nilitegemea utataja terehe ya kweli aliyofariki Hayati Baba wa Taifa kumbe umeleta porojo tu
 

Naona umejiongezea maswali tu,wakati lile la kwanza lililotuleta hapa hujajibu!
Wewe kama una takwimu za mambo haya si' uziweke tu kuliko kuanzisha theory zako!
 
kumbe mpaka leo huwa unamwamini mkapa
 
Umuhim wa tarehe inatusaidia nn na taifa letu kuondokana na umaskin.. Ww ulitaka iwe tarehe ngapi..leta hata za msingi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 


Hivi kifo cha mtu kinakuwa effective kuanzia pale kinapotangazwa au pale kinapotokea? Just curious!
 
embu tuambie alkufa tarehe ngapi ww ulyekuwepo wakati anakata roho
 
embu tuambie alkufa tarehe ngapi ww ulyekuwepo wakati anakata roho

Yawezekana mtoa mada anafanya utafiti siku ya halisi ya kifo cha baba wa taifa atakuja na jibu kamili.!
 
Ndio ujue kuwa waswahili tunawazika sana 'marehemu' wetu wakiwa hai!
 
Hivi inakuhusu we ni mwanae au mkewe hadi utafute ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…