Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
I wish niisikie au kuisoma hotuba yake nzima.Hapa nijue alimaanisha nini.
I wish niisikie au kuisoma hotuba yake nzima.Hapa nijue alimaanisha nini.
Sitaki nataka yule.. Ohooo!Mh. Rais alishalizungumzia hili mara kadhaa, hataongeza muhula mwingine zaidi ya hiii iliyopo kwenye katiba yetu.
Ya nini kwenda kote huko 2025!Manelezu naomba nikueleze kuwa ni mpumbavu tu anayeweza fikiria kuwa JPM anaweza ongeza muda baada ya 2025.
Katiba ipi hiyo inayosema Rais aongoze miaka kumi...hayo ni mambo vyama kuwekeana hizo biashara za kupita bila kupingwa ndani ya chama hasa kwa wagombea nafasi ya UraisMsimamo wangu ni huu unaoendana na katiba yetu. Sio zaidi ya mihula miwili.
Duuh...kasome uelewe kwanza.Katiba ipi hiyo inayosema Rais aongoze miaka kumi...hayo ni mambo vyama kuwekeana hizo biashara za kupita bila kupingwa ndani ya chama hasa kwa wagombea nafasi ya Urais
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma ni kipindi cha miaka mitano ya uongozi kisha kunakuwepo na uchaguzi tena mwingine.Duuh...kasome uelewe kwanza.
Hujaelewa.Nimesoma ni kipindi cha miaka mitano ya uongozi kisha kunakuwepo na uchaguzi tena mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio raisi wa nchiMbowe yuko muhula wa ngapi?
Sema atakuwa na Kazi kubwa sana kurudisha nchi kwenye mstari yaani kukuza demokrasia, hali ya usalama,kukuza sector binafsi na ajira,kuongeza mapato ya nchi,kuwaunganisha watu,kuongeza tija na morali ya kazi kwa watumishi, ili tufikie angalau alipoachia Jk si chini ya miaka 20.Hofu yangu , atakaeingia awamu ya sita ataendeleza kazi ya JPM ? Japo sio utamaduni wetu tumpe mda zaidi ainyooshe nchi ,matunda yameshaonekana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mimi muongo basi Gazeti LA mtanzania will take the responsibility... Mimi nime copy na Ku paste, sijaongeza wala kupunguza...labda kosa langu liwe to repost whatever has been reported!Unaandika kama wengine hawajamsikiliza?
Hajasema hayo maneno!!!!! Kwa namna hiyo
Acha uongo
Hujaelewa.
Mbona wewe wa hovyo hivi? Mbowe anaingiaje hapa? Unakera kinoma mkuu. Samahani lakini.Mbowe yuko muhula wa ngapi?