Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Lazima niwachanganye.

Tuna tofauti kubwa za kifalsafa.
Shida kila mtu anataka ukubali kile anachokubali yeye,na nimegundua kitu ukiongea jambo kifalsafa unawaacha mbali sana watu wanaoamini kitika falsafa ya kukalili hawana muda wa kufafanua mbali ya kile walichoaminishwa wao.
 
Sijasema kifo kikuogooeshe usifanye maamuzi.

Nimesisitiza kufanya maamuzi sahihi, ya busara, yasiyo na kujimwambafy kwa "unanijua mimi nani? Nitakuvua nyota".

Lakini naelewa wengi wenu hoja imewapita kimo.
 
Magufuli alikuwa bingwa wa kuwaaminisha Watanzania alikuwa tofauti kidogo wakati ni mchezo ule ule tu.
Fact,hili nauhakika nalo kabisa ndio maana wengi ukiwauliza wanaishia kukwambia alikua anajali wanyonge mchapakazi,alidhibiti mafisadi kajenga fly over,ukimuuliza baada ya kufa nini kimefuata utajibiwa huyu wa sahizi anatupeleka shimoni!
 
Fact,hili nauhakika nalo kabisa ndio maana wengi ukiwauliza wanaishia kukwambia alikua anajali wanyonge mchapakazi,alidhibiti mafisadi kajenga fly over,ukimuuliza baada ya kufa nini kimefuata utajibiwa huyu wa sahizi anatupeleka shimoni!
Watanzania wengi ni rahisi sana kuwa manipulate.

Ukiwapa show za kibabe kama hizi za Magereza mbili tatu, za makinika, za Koroshow, wanakufagiliaaa.

Wakati hamna lolote la msingi unalofanya unawapiga kindanindani huko ambako hata CAG haruhusiwi kugusa, unanunua wapinzani na kuchafua demokrasia.

Hata hawajali.
 
Mabobish 🤣🤣🤣
Wasukuma hulitumia sana hilo neno lina maana gani Mkuu ?
 
Magufuli alikuwa anatafuta sifa tu wala hakuwa mtetezi wa wanyonge!
 
kwamba asingemvua cheo Huyo Afande ,,asingekufa hovyo kabisaaa wewe
 
Je, ni kweli wewe Mara zote huwa unafanya maamuzi sahihi?
Come to reality.
Mimi najijua sifanyi maamuzi sahihi mara zote. Ndiyo maana sijataka kuwa rais wala mwenyekiti wa kijiji.

Ukitaka kuwa rais, hata kama hufanyi maamuzi sahihi mara zote, mambo madogo madogo kama kauli za kishamba za kulimbuka za "nitakuvua nyota" unatakiwa kujiepusha nazo.

Cheo cha urais kina heshima zake.

Hizo ni kauli za Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya uswekeni anayemkaripia Kiranja, si kauli ya rais wa nchi anayetakiwa kufanya critical thinking, abstract thinking, kutoa maamuzi unbiased kwa kufuata due process.

Magufuli alikuwa anafanya mambo kishamba na kutoa kauli za kishamba.

Tatizo Watanzania wengi hawakujua, kwa sababu na wao ni washamba vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…