Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Magufuli alikuwa bingwa wa kuwaaminisha Watanzania alikuwa tofauti kidogo wakati ni mchezo ule ule tu.Kwa magufuli ilikuwa tofauti kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alikuwa bingwa wa kuwaaminisha Watanzania alikuwa tofauti kidogo wakati ni mchezo ule ule tu.Kwa magufuli ilikuwa tofauti kidogo
That is beside the point.Huo uwezo alikuwa nao
Hujajibu nililouliza.Labda umesikia kuhusu logic statement
Shida kila mtu anataka ukubali kile anachokubali yeye,na nimegundua kitu ukiongea jambo kifalsafa unawaacha mbali sana watu wanaoamini kitika falsafa ya kukalili hawana muda wa kufafanua mbali ya kile walichoaminishwa wao.Lazima niwachanganye.
Tuna tofauti kubwa za kifalsafa.
Sijasema kifo kikuogooeshe usifanye maamuzi.Kifo Pia kisikuogopeshe kufanya Maamuzi yalipohitajika Maamuzi kwa wakati sahihi.
Kifo ni Hatima.
Kifo ni sheria ya mwisho itakayomhukumu kila Mwanadamu haijalishi aliishi maisha gani duniani.
Bila kuchoka,
Yesu Alikufa akawaacha Wenye dhambi wanakula jua la dunia.
Kwa Mbope ndio uone ajabu!
Hapo ndipo kwenye shida mkuu.Shida kila mtu anataka ukubali kile anachokubali yeye,na nimegundua kitu ukiongea jambo kifalsafa unawaacha mbali sana watu wanaoamini kitika falsafa ya kukalili hawana muda wa kufafanua mbali ya kile walichoaminishwa wao.
Fact,hili nauhakika nalo kabisa ndio maana wengi ukiwauliza wanaishia kukwambia alikua anajali wanyonge mchapakazi,alidhibiti mafisadi kajenga fly over,ukimuuliza baada ya kufa nini kimefuata utajibiwa huyu wa sahizi anatupeleka shimoni!Magufuli alikuwa bingwa wa kuwaaminisha Watanzania alikuwa tofauti kidogo wakati ni mchezo ule ule tu.
Watanzania wengi ni rahisi sana kuwa manipulate.Fact,hili nauhakika nalo kabisa ndio maana wengi ukiwauliza wanaishia kukwambia alikua anajali wanyonge mchapakazi,alidhibiti mafisadi kajenga fly over,ukimuuliza baada ya kufa nini kimefuata utajibiwa huyu wa sahizi anatupeleka shimoni!
Mabobish 🤣🤣🤣Logical non sequitur fallacy.
Hataishi milele ila Magufuli katangulia kufa kamuacha afande analifaidi jua bado.
Magufuli na mabobish yake yote ya "Naweza kukuvua manyota" hayakumsaidia kukishinda kifo.
Cheo ni dhamana, usikitumie kujimwambafy na kutishia watu.
Duniani wote tunapita tu.
Mfano mzuri: mwabukusi lawyerSana aise wana kiburi fulani cha ajabu sana
Hata Magufuli alikuwa mjeuri na mjivuni!Lakini Magufuli amekufa na afande anaishi bado.
Kijishaua shaua, mikwala ya kujimwambafy, yale mambo yetu yale ya "unanijua mimi nani? Nitakuvua nyota".Mabobish 🤣🤣🤣
Wasukuma hulitumia sana hilo neno lina maana gani Mkuu ?
Wabongo wengi ndio wanavyopenda vile. Show za kibabe kila siku.Hata Magufuli alikuwa mjeuri na mjivuni!
Je, ni kweli wewe Mara zote huwa unafanya maamuzi sahihi?Sijasema kifo kikuogooeshe usifanye maamuzi.
Nimesisitiza kufanya maamuzi sahihi, ya busara, yasiyo na kujimwambafy kwa "unanijua mimi nani? Nitakuvua nyota".
Lakini naelewa wengi wenu hoja imewapita kimo.
Magufuli alikuwa anatafuta sifa tu wala hakuwa mtetezi wa wanyonge!Kiran
Wewe dada yangu una nongwa sana, Magu kutekeleza majukumu yake ndio kujimwambafy. Kwa hiyo ulitaka awaache wajingawajinga ambao ni waonevu?
Ila wewe nishakustukia tokea muanze kula mlo mmoja wa jioni kwa sababu ya Bwana wako kufukuzwa kwa vyeti feki unamchukia kweli Magu.
kwamba asingemvua cheo Huyo Afande ,,asingekufa hovyo kabisaaa weweUnaweza kujitapa sana kwamba unaweza kumvua mtu manyota wakati wowote lakini huyo unayemvua manyota akaendelea kuishi na wewe na tambo lako lote la kumvua manyota ukafa ukamuacha.
Cheo ni dhamana, tusipende sana kujimwambafy kwa dhamana ya cheo.
Magufuli angeweza kumsikiliza Afande na kuamua kesi kwa busara bila kujimwambafy kwamba anaweza kumvua manyota.
Mimi najijua sifanyi maamuzi sahihi mara zote. Ndiyo maana sijataka kuwa rais wala mwenyekiti wa kijiji.Je, ni kweli wewe Mara zote huwa unafanya maamuzi sahihi?
Come to reality.
Hapana.kwamba asingemvua cheo Huyo Afande ,,asingekufa hovyo kabisaaa wewe