Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Mimi najijua sifanyi maamuzi sahihi mara zote. Ndiyo maana sijataka kuwa rais wala mwenyekiti wa kijiji.

Ukitaka kuwa rais, hata kama hufanyi maamuzi sahihi mara zote, mambo madogo madogo kama kauli za kishamba za kulimbuka za "nitakuvua nyota" unatakiwa kujiepusha nazo.

Cheo cha urais kina heshima zake.

Hizo ni kauli za Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya uswekeni anayemkaripia Kiranja, si kauli ya rais wa nchi anayetakiwa kufanya critical thinking, abstract thinking, kutoa maamuzi unbiased kwa kufuata due process.

Magufuli alikuwa anafanya mambo kishamba na kutoa kauli za kishamba.

Tatizo Watanzania wengi hawakujua, kwa sababu na wao ni washamba vilevile.
Walimu wa chekechea Wana akili sana,
I like the way they treat pupils,
And pupils like their teacher.
 
Mbona Babu yako mzaa Baba yako alibarikiwa, lakini wewe mjukuu wake umekuwa kilaza. Kwa hiyo na wewe umekuwa kundi la mavilaza Acha kukariri wewe
Mimi na wewe nani kakariri? Ukitumia akiliyako kwa uhuru kupambanua mambo utajifunza mengi sana,ukilaza wako unadhihirika unapomtaja bubuyangu mzaa babayangu ingali humjui,hata hoja ndogo tu ya kiranga umeshindwa kutumia akili kuielewa.
 
Haujakosea, jpm alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi sana, hiyo ilipelekea pia awe ni mfuatiliaji wa mambo mengi sana ya nchi, so ktk muktadha huo kukosea ktk maamuzi isingekuwa jambo la kushangza maana alikuwa binadamu mwenye hisia na utashi pia.
Ndio nyie mliokua mnaaminishwa alikua anajua hadi idadi ya samaki waliokuwa ziwani na baharini,hujui kuwa akili nyingi sana hupelekea mtu kuwa mwehu?
 
Ndio nyie mliokua mnaaminishwa alikua anajua hadi idadi ya samaki waliokuwa ziwani na baharini,hujui kuwa akili nyingi sana hupelekea mtu kuwa mwehu?
Mtu kama kabarikiwa jambo flani kwa nini ukweli usisemwe? Ww ambae haukuwehuka umelifanyia nini taifa hili..chuki zako binafsi kwa hayati usipandikize kwa wengine...
 
Mwisho wa siku mfungwa aliendelea kubakia mfungwa, askari akaendelea kuwa askari na Rais akaendelea kuwa Rais...

Tujitahidi kurekebisha mifumo na sio watu, maana mfumo ukiwa thabiti sisi watu tutaishi tukihakikisha tunaufuata...
Yule mfungwa albino alitoka mwaka uliofuata Kwa msamaha Wa raisi au Ali appear akashinda kesi. Niliwahi kuona mahojiano Yake Star TV akihojiwa baada ya kutoka gerezani..
 
Kuna mtu nilikuwa nafuatiliaga sana comment zake huwa anaonheaga vitu vya msingi sana.....leo nimeshangaa kwenye huu uzi ame comment mashudu tupu
Mtu ambaye hajui hata ametoka wapi wala anaenda wapi wala haamini chochote anatoa wapi vitu vya msingi, kama huwa unamuona hivyo jichunguze mkuu, by the way sijamtaja mtu asije mtu kuniteremshia mistari ya falsafa ntageuka mwasifiga.
 
Mtu ambaye hajui hata ametoka wapi wala anaenda wapi wala haamini chochote anatoa wapi vitu vya msingi, kama huwa unamuona hivyo jichunguze mkuu, by the way sijamtaja mtu asije mtu kuniteremshia mistari ya falsafa ntageuka mwasifiga.
Mtaje mtajee, usimuogopee.

Wewe Kazakh Destroyer gani unaogopa ogopa kumtaja mtuu?
 
Back
Top Bottom