Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
Kwa hiyo nimetumia makalio yako wewe mpumbavu NutshellHapana.
Logical non sequitur fallacy.
Watanzania wengi kama wewe hamjui kusoma kwa ufahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nimetumia makalio yako wewe mpumbavu NutshellHapana.
Logical non sequitur fallacy.
Watanzania wengi kama wewe hamjui kusoma kwa ufahamu.
Lakini afande naye hataishi milele.Lakini Magufuli amekufa na afande anaishi bado.
Walimu wa chekechea Wana akili sana,Mimi najijua sifanyi maamuzi sahihi mara zote. Ndiyo maana sijataka kuwa rais wala mwenyekiti wa kijiji.
Ukitaka kuwa rais, hata kama hufanyi maamuzi sahihi mara zote, mambo madogo madogo kama kauli za kishamba za kulimbuka za "nitakuvua nyota" unatakiwa kujiepusha nazo.
Cheo cha urais kina heshima zake.
Hizo ni kauli za Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya uswekeni anayemkaripia Kiranja, si kauli ya rais wa nchi anayetakiwa kufanya critical thinking, abstract thinking, kutoa maamuzi unbiased kwa kufuata due process.
Magufuli alikuwa anafanya mambo kishamba na kutoa kauli za kishamba.
Tatizo Watanzania wengi hawakujua, kwa sababu na wao ni washamba vilevile.
Ad hominem fallacy.Kwa hiyo nimetumia makalio yako wewe mpumbavu Nutshell
That is beside my point.Lakini afande naye hataishi milele.
coward,dic**sucker,brainless,breakmindedAd hominem fallacy.
Mimi na wewe nani kakariri? Ukitumia akiliyako kwa uhuru kupambanua mambo utajifunza mengi sana,ukilaza wako unadhihirika unapomtaja bubuyangu mzaa babayangu ingali humjui,hata hoja ndogo tu ya kiranga umeshindwa kutumia akili kuielewa.Mbona Babu yako mzaa Baba yako alibarikiwa, lakini wewe mjukuu wake umekuwa kilaza. Kwa hiyo na wewe umekuwa kundi la mavilaza Acha kukariri wewe
Ndio nyie mliokua mnaaminishwa alikua anajua hadi idadi ya samaki waliokuwa ziwani na baharini,hujui kuwa akili nyingi sana hupelekea mtu kuwa mwehu?Haujakosea, jpm alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi sana, hiyo ilipelekea pia awe ni mfuatiliaji wa mambo mengi sana ya nchi, so ktk muktadha huo kukosea ktk maamuzi isingekuwa jambo la kushangza maana alikuwa binadamu mwenye hisia na utashi pia.
Mtu kama kabarikiwa jambo flani kwa nini ukweli usisemwe? Ww ambae haukuwehuka umelifanyia nini taifa hili..chuki zako binafsi kwa hayati usipandikize kwa wengine...Ndio nyie mliokua mnaaminishwa alikua anajua hadi idadi ya samaki waliokuwa ziwani na baharini,hujui kuwa akili nyingi sana hupelekea mtu kuwa mwehu?
Yule mfungwa albino alitoka mwaka uliofuata Kwa msamaha Wa raisi au Ali appear akashinda kesi. Niliwahi kuona mahojiano Yake Star TV akihojiwa baada ya kutoka gerezani..Mwisho wa siku mfungwa aliendelea kubakia mfungwa, askari akaendelea kuwa askari na Rais akaendelea kuwa Rais...
Tujitahidi kurekebisha mifumo na sio watu, maana mfumo ukiwa thabiti sisi watu tutaishi tukihakikisha tunaufuata...
Straight to ignore list.coward,dic**sucker,brainless,breakminded
Too lateStraight to ignore list.
Nitakunyoosha kwa hoja zako za kijingaStraight to ignore list.
Stuxnet Mkuu huyu ni wewe tu, njoo ujibu tuhuma hata mimi nilikuwa nimechukua hayo maneno kuwa alikutwa ufukweni mwa ziwa..Kuna jamaa alisema ameshafariki yule memba anae weka avatar ya mwasifiga.
Mwasifiga siku iyo alikua Kapiga msuba maana alikua yupo na confidence ya SGR.
Mtu ambaye hajui hata ametoka wapi wala anaenda wapi wala haamini chochote anatoa wapi vitu vya msingi, kama huwa unamuona hivyo jichunguze mkuu, by the way sijamtaja mtu asije mtu kuniteremshia mistari ya falsafa ntageuka mwasifiga.Kuna mtu nilikuwa nafuatiliaga sana comment zake huwa anaonheaga vitu vya msingi sana.....leo nimeshangaa kwenye huu uzi ame comment mashudu tupu
Tazama tu sura yake utapata majibuwaliopata kufanya nayr kazi wanakwambia alikuwa ni mjivuni, kiburi kwelikweli.
Mtaje mtajee, usimuogopee.Mtu ambaye hajui hata ametoka wapi wala anaenda wapi wala haamini chochote anatoa wapi vitu vya msingi, kama huwa unamuona hivyo jichunguze mkuu, by the way sijamtaja mtu asije mtu kuniteremshia mistari ya falsafa ntageuka mwasifiga.
Kwanza alihamishiwa gereza la maweni Tanga,kisha alitoka kwa msamaha wa Rais Samia.Yule mfungwa albino alitoka mwaka uliofuata Kwa msamaha Wa raisi au Ali appear akashinda kesi. Niliwahi kuona mahojiano Yake Star TV akihojiwa baada ya kutoka gerezani..