Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Yeye alikuja na IST wewe ulikuja na ile Range Rover 2022 au Ulikuja na X7? Vip Lambogini yako ishafika bandarini? Nataka kuja kukodisha Bentley yako kwenye harusi ya ndugu yangu ,vipi Aston Martin yako ile nyeusi bado anaitumia mkeo?
Nafkiri ni Mwana Israel mwenzangu huyu.
Maandamano ndio gari zetu. Nafikiri umewlewa maandamano.
 
Kama alikupiga kweli..tafuta mwalimu ustaadhi..akuivishe mazoez ya shotokan miez minne mfululizo...ndio una rematch ..usirudishwe na mihemko
 
Matusi ni kosa la jinai, ilitakiwa umkamate umpeleke polisi, hapo ungekuwa "responsible citizen", nyie ndio mnaosababisha serikali inang'ang'ania kufundisha uraia na kujitambua badala ya kufundisha sayansi na kilimo
Kinachosikitisha kituo Cha polisi na huo uwanja ni hatua kadhaa,,,hapo walipokua angepiga mluzi TU polisi wangefika.
 
Kama alikupiga kweli..tafuta mwalimu ustaadhi..akuivishe mazoez ya shotokan miez minne mfululizo...ndio una rematch ..usirudishwe na mihemko
Kaka hata nikifanya mazoezi mwaka mzima kama ataitumia ile nyundo aliyonipiga nayo siku ile bado ataendelea kushinda, me nachotaka turudie pambano bila silaha, mbona namkalisha mapema tu.
 
Wale mnaosema mimi na huyo jamaa ni id moja nimeamua kuwatumia live location nilipo sasa hivi, na yeye atume yake aonyeshe alipo, mimi kwa sasa nipo Morogoro yeye sijui yuko Kahama huko ndanindani.
 

Yani unakomenti halafu unajicheka.

Kula yako ya taabu mpka uuze uchi halafu unakuja kubishana na mtu kama mimi mwenye maisha na kazi yangu nzuri.

Wewe ndo huna hadhi ya kubishana na mimi takataka wewe.

Muuza papa
 
mzee nshomile huyu dada nilishawah kukutajia kuwa ni watu naowafahamu rejea nilikuambia
kweli usilolijua ni usiku wa giza huyu dada ni popular kabisa yan kashawahi tembea nchi za watu mbaya. Unaona humu unamchukulia poa ni Famous kabisa

Nourhan siwezi taja uhusika wako dada usijali
nilikuwa namfikishia tu taarifa
 
tag haikuja haina haja ya kubishana nae sis hakujui

mtanie Nourhan kuhusu vitu vingine ila sio kutembea kaishi South, Uturuki na katembea sana usimdharau unamchukulia poa😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…