Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Mpaka shule zije kufunguliwa humu ndani tutakutana na vitoto vingi sana na ndoto au athari za kuangalia sana movies za kihindi.
 
Hili swali ungemuuliza mtu mmoja angekujibu vizuri sana. Mnafungua shuke lini?

Jidanganye Dogo.

nyie ndo mnashikwa matter call mnaishia kuchekacheka tu.

Njoo niyashike hayo matter cal nione kama utarusha ngumi, unaona kupigana ajabu ilihali we mwanaume.

Wewe ndo urudi shule haraka. unat.mbana na papa unaleta uzi JF.

unaonkena tu kuwa wewe n mtoto tu
 
Shule zifunguliwe. Una imagine upuuzi baada ya kuangalia movie ya kihindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…