Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Serikali Itaweza?Kuna Maeneo Serikali Haipo Kwa Huduma Zozote Za Afya Lakini Kanisa Utalikuta. Hata Shule Ikiachiwa Serikali Pekee Haiwezi Kutoa Huduma
Inakuwaje serikali kuna sehemu isiwepo lakini kanisa lipo.Kwani hii ni nchi ya kanisa.Au kuna njama gani serikali iachie maeneo kwa kanisa kwa kutumia pesa za waislamu pia.
 
Wenye hisia za Udini siku zote ukiwachunguza unakuta hawana akili, uwe muislamu uwe mkristo ukiona uko sensitive sana na udini jijue wewe ni mpumbavu.
 
Jamani nina swali tuu. Kwani hizo hospitali wanatibiwa watu wa kanisa tu? Ni watu wa imani moja tuu ndiyo wanatibiwa hapo?

Tukienda mfano Bugando, KCMC na nyinginezo pale mbona watu wengi tu wanatibiwa pale. Na hospitali hizi zimekuwa msaada kwa watu wengi tena wa aina zote za kiimani. Hivyo sioni shida kuchangia huduma za kiafya, vinginevyo kama alivyosema mdau mmoja hapo juu basi serikali iboreshe huduma zake za afya badala ya kutegemea sekta binafsi. Ni maoni🙏🏾.
Upo sahihi boss
 
Waislam na nyie jengeni zenu msaini hyo MoU na serikali over! Kwan shida iko wap si mjenge zenu????
Nyinyi ni wajanja sana kama makupe.Ilikuwa nyinyi mjenge zenu kwanza badala kujificha ndani ya serikali.Zaidi ni kuwa masuala ya kujenga hospitali wala hamukuanza nyinyi.kihistoria huu ni ubunifu wa waislamu na waislamu ndio watu walioifunza Ulaya udaktari.
Tatizo lenu mkishakujipenyeza pahala mnajifanya wajanja na hamtaki na wenzenu wafike hapo.Tukijenga hospitali au mashule yetu mnavifanyia fitna vifeli kujiendesha.
 
Yan ww jamaa ni mjinga sana. Ukiona mtu analalamika kwa kila kitu basi jua HUYO NI DHAIFU (inferior)
 
hiyo ilikuwa moja LA shariti alilopewa Baba Wa taifa alipotaifisha mashule.na hospitali zilizojengwa na.makanisa
 
Nyinyi ni wajanja sana kama makupe.Ilikuwa nyinyi mjenge zenu kwanza badala kujificha ndani ya serikali.Zaidi ni kuwa masuala ya kujenga hospitali wala hamukuanza nyinyi.kihistoria huu ni ubunifu wa waislamu na waislamu ndio watu walioifunza Ulaya udaktari.
Tatizo lenu mkishakujipenyeza pahala mnajifanya wajanja na hamtaki na wenzenu wafike hapo.Tukijenga hospitali au mashule yetu mnavifanyia fitna vifeli kujiendesha.
Et wavaa kobaz waarabu waliwafundisha wazungu udaktar 😂😂😂.Kama hujui ata ile mashine ya kuchapa hicho kitabu chenu ni Mzungu, kile kipaza saut cha adhan ni mzungu, hyo cm unayoitumia ni mzungu, wavaa kobaz kutoka Africa na kwngneko kwenda kweny lile jiwe mnapanda ndege sio? Huyo ni mzungu, Magari yale ya kifaahari kule arabun ni mzungu 😂😂😂😂 . Haya wew tuambie wavaa kobaz waarabu wamefanya kipi ndo ntajua kweli they are superior
 
Na kwa mujibu wa JPM, hospitali za wilaya alikuwa anajenga kwa Tshs. 1.5 Bilioni. Kwa hiyo shilingi bilioni 30 ni karibu kujenga hospitali 20 hivi kwa mwaka, mwaka unaofuata unanunua vifaa tiba, na kuajiri wahudumu. Aisee, hii mikataba ya ajabu sana
Acha kujidanganya, wakifunga hizo Hospital watu wengi sana watakufa kwa kukosa huduma, fanyeni research kwanza, ni kam mnapewa huduma ya bure tuu
 
Zamani hizo hospitali zilikuwa zinatoa huduma hivyo ilikuwa ni sawa kabisa kusaidiwa na Serikali ila kwa sasa mambo yamebadilika kwani zinafanya Biashara sawa na hospitali za Binafsi; sasa kwa nini zichangiwe na Serikali?
Kuna mengi huyajui uliza upewe habari sahihi
 
Et wavaa kobaz waarabu waliwafundisha wazungu udaktar 😂😂😂.Kama hujui ata ile mashine ya kuchapa hicho kitabu chenu ni Mzungu, kile kipaza saut cha adhan ni mzungu, hyo cm unayoitumia ni mzungu, wavaa kobaz kutoka Africa na kwngneko kwenda kweny lile jiwe mnapanda ndege sio? Huyo ni mzungu, Magari yale ya kifaahari kule arabun ni mzungu 😂😂😂😂 . Haya wew tuambie wavaa kobaz waarabu wamefanya kipi ndo ntajua kweli they are superior
Duh mbonq umemkanyaga sana mtu wa watu asee😂😂😂😂 nijuavyo mwarabu katumia vizuri resource zake ila hana jipya ililovumbua hata mafuta walikua nayo ila yalichimbwa na mzungu
 
Yan ww jamaa ni mjinga sana. Ukiona mtu analalamika kwa kila kitu basi jua HUYO NI DHAIFU (inferior)
Na wewe sio useme tu.Onesha inferiority yangu.Au ni kwa kuwafichua mlivyo wajanja.
 
Lakini mkuu, kwa Tshs. 1.5B unaweza jenga majengo 15 ya chini yanayogharimu shilingi milioni 100 kila moja. Majengo hayo si unapata na mochwari kabisa, ICU nk.. 1.5B inatosha kabisa mkuu kujenga hospitali ya wilaya
Usiskilize stori za vijiweni hakuna hospitali ya wilaya iliokamilika kwa 1.5b labda ujenge majengo tupu vifaa ni vya moto sana bei msumari
 
Et wavaa kobaz waarabu waliwafundisha wazungu udaktar 😂😂😂.Kama hujui ata ile mashine ya kuchapa hicho kitabu chenu ni Mzungu, kile kipaza saut cha adhan ni mzungu, hyo cm unayoitumia ni mzungu, wavaa kobaz kutoka Africa na kwngneko kwenda kweny lile jiwe mnapanda ndege sio? Huyo ni mzungu, Magari yale ya kifaahari kule arabun ni mzungu 😂😂😂😂 . Haya wew tuambie wavaa kobaz waarabu wamefanya kipi ndo ntajua kweli they are superior
Hizo ni historia za kitoto sana.Wewe hujui kuliko wazunguj wenyewe waliokiri na hata mfalme wako Charles amesema hivyo hivyo na anaheshimu uvumbuzi wa waislamu.Wanachofanya wazungu wako sasa ni kuendeleza tu uvumbuzi wa waislamu.Niambie umesoma fani geni wewe nikutajia gwiji la kiislamu aliyevumbua hayo unayofeli kupata cheti.
 
Duh mbonq umemkanyaga sana mtu wa watu asee😂😂😂😂 nijuavyo mwarabu katumia vizuri resource zake ila hana jipya ililovumbua hata mafuta walikua nayo ila yalichimbwa na mzungu
Unajua hawa watu wanajifanyaga wao ndio wakamilifu kila kitu wanajua wao lkn ni Dhaifu mno!
 
Nimekosa cha Ku comment hapa maana Udini umetawala mno kwenye kila Uzi humu JF
Kwani Hospital za dini zinawatibu watu wa madhehebu yapi? Ifike mahali tujue sote tunamwamini Mungu mmoja tuu aliyetafsiriwa Kwa Lugha na majina tofauti tuu
Dini ni Imani tuu ya kutufikisha kwake mengine ni ya hapa duniani na tuamini tunalumbana Ila sote tunamwamini Mungu mmoja tuu!
 
Na wewe sio useme tu.Onesha inferiority yangu.Au ni kwa kuwafichua mlivyo wajanja.
U know what? Mara nyingi mjinga hufuatana na wajinga wenzie sasa Arabs are inferior to white people na ww uko upande wa hao inferiors so na ww bila shaka ni inferior
 
Nenda kacheze rede na wasichana wenzako.Hujui unalosema.
 
Unajua hawa watu wanajifanyaga wao ndio wakamilifu kila kitu wanajua wao lkn ni Dhaifu mno!
Moja ya mafunzo ya uislamu ni kuamini kuwa mkamilifu ni Allah peke yake.Hivyo hatuwezi kuamini hivyo.Jambo jengine ni kuwa waislamu hawatakiwi kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.
 
Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.

Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:

Duh ni hatari.Hawa wamechokoza mengi ya Bandari kumbe wao wana zaidi ya hayo ya bandari.Alitoa siri hii,aheshimiwe.
 
Back
Top Bottom