Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Inakuwaje serikali kuna sehemu isiwepo lakini kanisa lipo.Kwani hii ni nchi ya kanisa.Au kuna njama gani serikali iachie maeneo kwa kanisa kwa kutumia pesa za waislamu pia.Serikali Itaweza?Kuna Maeneo Serikali Haipo Kwa Huduma Zozote Za Afya Lakini Kanisa Utalikuta. Hata Shule Ikiachiwa Serikali Pekee Haiwezi Kutoa Huduma