Inakuwaje serikali kuna sehemu isiwepo lakini kanisa lipo.Kwani hii ni nchi ya kanisa.Au kuna njama gani serikali iachie maeneo kwa kanisa kwa kutumia pesa za waislamu pia.Serikali Itaweza?Kuna Maeneo Serikali Haipo Kwa Huduma Zozote Za Afya Lakini Kanisa Utalikuta. Hata Shule Ikiachiwa Serikali Pekee Haiwezi Kutoa Huduma
Upo sahihi bossJamani nina swali tuu. Kwani hizo hospitali wanatibiwa watu wa kanisa tu? Ni watu wa imani moja tuu ndiyo wanatibiwa hapo?
Tukienda mfano Bugando, KCMC na nyinginezo pale mbona watu wengi tu wanatibiwa pale. Na hospitali hizi zimekuwa msaada kwa watu wengi tena wa aina zote za kiimani. Hivyo sioni shida kuchangia huduma za kiafya, vinginevyo kama alivyosema mdau mmoja hapo juu basi serikali iboreshe huduma zake za afya badala ya kutegemea sekta binafsi. Ni maoniππΎ.
Nyinyi ni wajanja sana kama makupe.Ilikuwa nyinyi mjenge zenu kwanza badala kujificha ndani ya serikali.Zaidi ni kuwa masuala ya kujenga hospitali wala hamukuanza nyinyi.kihistoria huu ni ubunifu wa waislamu na waislamu ndio watu walioifunza Ulaya udaktari.Waislam na nyie jengeni zenu msaini hyo MoU na serikali over! Kwan shida iko wap si mjenge zenu????
Yan ww jamaa ni mjinga sana. Ukiona mtu analalamika kwa kila kitu basi jua HUYO NI DHAIFU (inferior)Nyinyi ni wajanja sana kama makupe.Ilikuwa nyinyi mjenge zenu kwanza badala kujificha ndani ya serikali.Zaidi ni kuwa masuala ya kujenga hospitali wala hamukuanza nyinyi.kihistoria huu ni ubunifu wa waislamu na waislamu ndio watu walioifunza Ulaya udaktari.
Tatizo lenu mkishakujipenyeza pahala mnajifanya wajanja na hamtaki na wenzenu wafike hapo.Tukijenga hospitali au mashule yetu mnavifanyia fitna vifeli kujiendesha.
Et wavaa kobaz waarabu waliwafundisha wazungu udaktar πππ.Kama hujui ata ile mashine ya kuchapa hicho kitabu chenu ni Mzungu, kile kipaza saut cha adhan ni mzungu, hyo cm unayoitumia ni mzungu, wavaa kobaz kutoka Africa na kwngneko kwenda kweny lile jiwe mnapanda ndege sio? Huyo ni mzungu, Magari yale ya kifaahari kule arabun ni mzungu ππππ . Haya wew tuambie wavaa kobaz waarabu wamefanya kipi ndo ntajua kweli they are superiorNyinyi ni wajanja sana kama makupe.Ilikuwa nyinyi mjenge zenu kwanza badala kujificha ndani ya serikali.Zaidi ni kuwa masuala ya kujenga hospitali wala hamukuanza nyinyi.kihistoria huu ni ubunifu wa waislamu na waislamu ndio watu walioifunza Ulaya udaktari.
Tatizo lenu mkishakujipenyeza pahala mnajifanya wajanja na hamtaki na wenzenu wafike hapo.Tukijenga hospitali au mashule yetu mnavifanyia fitna vifeli kujiendesha.
Acha kujidanganya, wakifunga hizo Hospital watu wengi sana watakufa kwa kukosa huduma, fanyeni research kwanza, ni kam mnapewa huduma ya bure tuuNa kwa mujibu wa JPM, hospitali za wilaya alikuwa anajenga kwa Tshs. 1.5 Bilioni. Kwa hiyo shilingi bilioni 30 ni karibu kujenga hospitali 20 hivi kwa mwaka, mwaka unaofuata unanunua vifaa tiba, na kuajiri wahudumu. Aisee, hii mikataba ya ajabu sana
Kuna mengi huyajui uliza upewe habari sahihiZamani hizo hospitali zilikuwa zinatoa huduma hivyo ilikuwa ni sawa kabisa kusaidiwa na Serikali ila kwa sasa mambo yamebadilika kwani zinafanya Biashara sawa na hospitali za Binafsi; sasa kwa nini zichangiwe na Serikali?
Duh mbonq umemkanyaga sana mtu wa watu aseeππππ nijuavyo mwarabu katumia vizuri resource zake ila hana jipya ililovumbua hata mafuta walikua nayo ila yalichimbwa na mzunguEt wavaa kobaz waarabu waliwafundisha wazungu udaktar πππ.Kama hujui ata ile mashine ya kuchapa hicho kitabu chenu ni Mzungu, kile kipaza saut cha adhan ni mzungu, hyo cm unayoitumia ni mzungu, wavaa kobaz kutoka Africa na kwngneko kwenda kweny lile jiwe mnapanda ndege sio? Huyo ni mzungu, Magari yale ya kifaahari kule arabun ni mzungu ππππ . Haya wew tuambie wavaa kobaz waarabu wamefanya kipi ndo ntajua kweli they are superior
Na wewe sio useme tu.Onesha inferiority yangu.Au ni kwa kuwafichua mlivyo wajanja.Yan ww jamaa ni mjinga sana. Ukiona mtu analalamika kwa kila kitu basi jua HUYO NI DHAIFU (inferior)
Usiskilize stori za vijiweni hakuna hospitali ya wilaya iliokamilika kwa 1.5b labda ujenge majengo tupu vifaa ni vya moto sana bei msumariLakini mkuu, kwa Tshs. 1.5B unaweza jenga majengo 15 ya chini yanayogharimu shilingi milioni 100 kila moja. Majengo hayo si unapata na mochwari kabisa, ICU nk.. 1.5B inatosha kabisa mkuu kujenga hospitali ya wilaya
Hizo ni historia za kitoto sana.Wewe hujui kuliko wazunguj wenyewe waliokiri na hata mfalme wako Charles amesema hivyo hivyo na anaheshimu uvumbuzi wa waislamu.Wanachofanya wazungu wako sasa ni kuendeleza tu uvumbuzi wa waislamu.Niambie umesoma fani geni wewe nikutajia gwiji la kiislamu aliyevumbua hayo unayofeli kupata cheti.Et wavaa kobaz waarabu waliwafundisha wazungu udaktar πππ.Kama hujui ata ile mashine ya kuchapa hicho kitabu chenu ni Mzungu, kile kipaza saut cha adhan ni mzungu, hyo cm unayoitumia ni mzungu, wavaa kobaz kutoka Africa na kwngneko kwenda kweny lile jiwe mnapanda ndege sio? Huyo ni mzungu, Magari yale ya kifaahari kule arabun ni mzungu ππππ . Haya wew tuambie wavaa kobaz waarabu wamefanya kipi ndo ntajua kweli they are superior
Unajua hawa watu wanajifanyaga wao ndio wakamilifu kila kitu wanajua wao lkn ni Dhaifu mno!Duh mbonq umemkanyaga sana mtu wa watu aseeππππ nijuavyo mwarabu katumia vizuri resource zake ila hana jipya ililovumbua hata mafuta walikua nayo ila yalichimbwa na mzungu
U know what? Mara nyingi mjinga hufuatana na wajinga wenzie sasa Arabs are inferior to white people na ww uko upande wa hao inferiors so na ww bila shaka ni inferiorNa wewe sio useme tu.Onesha inferiority yangu.Au ni kwa kuwafichua mlivyo wajanja.
Nenda kacheze rede na wasichana wenzako.Hujui unalosema.U know what? Mara nyingi mjinga hufuatana na wajinga wenzie sasa Arabs are inferior to white people na ww uko upande wa hao inferiors so na ww bila shaka ni inferior
Cheki umeshaanza matusi, nilishakuambia ww dhaifu kama bi chaunabe ukakataa ππNenda kacheze rede na wasichana wenzako.Hujui unalosema.
Moja ya mafunzo ya uislamu ni kuamini kuwa mkamilifu ni Allah peke yake.Hivyo hatuwezi kuamini hivyo.Jambo jengine ni kuwa waislamu hawatakiwi kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.Unajua hawa watu wanajifanyaga wao ndio wakamilifu kila kitu wanajua wao lkn ni Dhaifu mno!
Duh ni hatari.Hawa wamechokoza mengi ya Bandari kumbe wao wana zaidi ya hayo ya bandari.Alitoa siri hii,aheshimiwe.Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi: