Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Ukiwa unaabudu kwa kugonga kuchwa kwenye sakafu huwezi kuwa na akili. Yaani Sheikh Ponda alipaswa aaangalie Takwimu za Watanzania waliohudumiwa kwenye hosipitali hizo na kulinganisha kuwa ingekuwaje kama zisingekuwapo!!
 
Pesa zote zinaishia huko,zitaboresha mda gani.
 
Kuna maeneo ya nchi hayana hospitali za serikali, so hizo hospitali za Kanisa zinatoa huduma kwa umma wate bila kujali dini
 
Mchochezi tu wewe huna lolote!!
 
Huu aliyetoa siri hii,apongezwe,tena hii ni ya mda mrefu,ni miaka.
 
Ukiwa unaabudu kwa kugonga kuchwa kwenye sakafu huwezi kuwa na akili. Yaani Sheikh Ponda alipaswa aaangalie Takwimu za Watanzania waliohudumiwa kwenye hosipitali hizo na kulinganisha kuwa ingekuwaje kama zisingekuwapo!!
Unataka kumpa kazi sheikh Ponda isiyokuwa na faida yoyote.Akalinganishe takwimu za nini.Anachosema yeye mabilioni ya pesa za serikali yanayovuja kwa kanisha bila ukomo ni kitu kisichostahili kabisa,
 
Kuwa na elimu kiduchu ni hatari kuliko kutokuwa na elimu kabisa!!!
 
Na kwa mujibu wa JPM, hospitali za wilaya alikuwa anajenga kwa Tshs. 1.5 Bilioni. Kwa hiyo shilingi bilioni 30 ni karibu kujenga hospitali 20 hivi kwa mwaka, mwaka unaofuata unanunua vifaa tiba, na kuajiri wahudumu. Aisee, hii mikataba ya ajabu sana
Huu mkataba,hawausemi,kwa vile wao ni wanufaika.
 
Unataka kumpa kazi sheikh Ponda isiyokuwa na faida yoyote.Akalinganishe takwimu za nini.Anachosema yeye mabilioni ya pesa za serikali yanayovuja kwa kanisha bila ukomo ni kitu kisichostahili kabisa,
Hajui anachokiongea kwa kuwa hana akili
 
Mbona zipo nyingi tu,hospital za waislamu,lakini hazipati,kama Istiqama wanazo hospital,na zna madaktari Bingwa.
Kwa hiyo kinyongo chote hicho ni kwa kuwa hospitali zenu zimekosa fursa hiyo? Eti? Hii ni tabia ya uke wenza!
 
Acha kutetea,aliyeleta mkataba huu,apewe hongera.
 
Waislam na nyie jengeni zenu msaini hyo MoU na serikali over! Kwan shida iko wap si mjenge zenu????
Hizo pesa wanazopewa,ni kodi za waislamu pia zimo.Wataka wajenge mara ngapi.Halafu waislamu ni watu wakimya sana.Huu mkataba upo miaka,hawajapiga kelele,na hawatibiwi bure,wanalipia matibabu.
 
Mm nilifikiri kwamba na nyie mmejenga hospitali za rufaa then serikali ikakataa kuwapa hyo Mou mnayo imba kila siku. Kumbe ni maneno maneno maneno tu!!!
Huwenda pia hizo hospital,zimejengwa kwa kodi za serekali,kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…