Umejibu vema kabisa; hiyo MoU siyo kama ina clause inayokataza Serikali kuto sign na Dini nyingine. Aidha tuulize zile mali za Tanesco pale Morogoro Serikali iliwapayia Waislam na siyo kwamba hapo mwanzoni zilikuwa mali zao!! Kuna kitu kama hicho Serikali iliisha Fanya kwa DINI nyingine?Kwangu mimi naona kuwa huenda kwa CCT na TEC ku'sign' MoU ni wao kuomba wasaidiwe katika huduma wanazotoa (ikiwa ni pamoja na kutolipa kodi). Kama CCT na TEC wameomba sidhani kama serikali ita'sign' MoU na madhehebu ya Kiislamu ambayo pengine hayakuomba au hayakuwa yameomba kwa wakati huo.
Mimi ningeona cha ajabu kama serikali itasema ina'sign' MoU na madhehebu ya dini ya Kikristo tu na siyo waislamu. Otherwise, sioni ubaya wowote na hasa kwa mashirika ambayo yanasaidia katika maendeleo ya watu na nchi. Au wewe ulifikiri hiyo MoU ni ya kwa ajili ya kueneza Ukristo?
Nafikiri ugumu wa Serikali kusaidia taasisi za kiislam unakuja pale wanapokuwa na Agenda ya ubaguzi. Wewe ona tu hata kwenye Balozi za nchi za kiislam ajira ni shida sana mkiristo