Unachozungumzia sio madhumuni ya mjadala. Hata Tanzanite ikitumika namna gani,.Aliyeigundua mara ya mwanzo hawezi kupuuzwa kwa vile hakuendeleza matumizi yake.
Heshima itabaki wa waislamu milele kwa kuanzisha mfumo wote wa kuhesabu 0,1,2...........................na -1,-2......0.1.0.3.................. unaotumika kwenye teknolojia zote sasa. Namba tunazotumia na mahesabau mengine makubwa yanayotumika viwandani kama calculus na binomials zote ni uvumbuzi wa waislamu.Gwiji moja wapo ni Alkaraaj ambaye ndiye baba wa hydrolojy.