Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Wewe mvyaa kamba ya mbuzi,juzi tu hapa wamekuja Muhimbili,madaktari kutoka Misri,kuwafundisha madaktari wa Muhimbili jinsi ya kufanya upasuaji bila kupasua sehemu kubwa.
Jibu hoja mvaa kubaz! Hao waarabu ndio mabingwa watechnologia kuwazid wazungu????? Jibu ndio au hapana ova, acha kupoteza muda
 
Wewe mvyaa kamba ya mbuzi shingoni.Tembea acha kukaa chumbani.Juzi tu wamekuja madaktari kutoka Misri,Muhimbili.kuja kuwafundisha madaktari,-kufanya upasuaji bila kupasua sehemu kubwa .
Mvaa Kubaz jibu swali ARE THOSE ARABS LEADING THE WESTERNERS IN TECHNOLOGY????
 
Ameshaelewa,ila anajifanya hajaelewa.Bila namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,dunia ingekuwaje,bila Algebra,dunia ingekuwa gizani

Sina shida na hiz namba kaka, wew niambie Kubaz wamezitumiaje hizo namba baada ya kuzigundua kuwa mbele kiteknologia kuwazidi wazungu??Yan tuambie baada ya wao kuzigundua hizo namba Wamezitumia vipi kuwa superior ? Najua huna na wala hakuna walichofanya kwahyo msemo uko pale pale Kubaz ni DHAIFU to western people ova!
 
Wewe mvyaa kamba ya mbuzi,juzi tu hapa wamekuja Muhimbili,madaktari kutoka Misri,kuwafundisha madaktari wa Muhimbili jinsi ya kufanya upasuaji bila kupasua sehemu kubwa.
Tatizo moja wew Kubaz unakuwa huelewi sijui unafanya makusudi, HAO MADAKTARI WA MUHIMBILI NI WESTERN PEOPLE???.
 
Wewe vipi waanze kuwatafuta waje kujumuishwa duu uliyaonaga wapi hayo! Mbona unashangaza sana[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hawa watakuchosha tu waambie waseme siptali ipi waliyonayo yenye hadhi ya Bugando na kcmc? watakuambia et agha khan ambazo ni hospitals za watu kutoka india ata Kenya zipo. Kubaz Ni DhaifU
 
Hawa watakuchosha tu waambie waseme siptali ipi waliyonayo yenye hadhi ya Bugando na kcmc, watakuambia et agha khan ambazo ni hospitals za watu kutoka india ata Kenya zipo. Kubaz Ni DhaifU
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli watanichosha ngoja niwaache waendelee na hizo siptali ha ha ha umenikumbusha wazee wa kijijini.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Jibu hoja mvaa kubaz! Hao waarabu ndio mabingwa watechnologia kuwazid wazungu????? Jibu ndio au hapana ova, acha kupoteza muda
Wewe mwenyewe unasubiri mwenye kuvyaa kubadhi(sio kubazi,kaa chini ufundishwe lugha) Yesu akuokoe,na hao wazungu wenzako.Ilikuwaje wazungu wafuate dini ya mvyaa kubadhi,wazidiwe akili na mvyaa kubadhi Yesu,wasiwe na dini yao.
Dunia nzima,dini zenye wafuasi wengi ni za wavyaa kubadhi wawili tu,na wanavyaa kanzu na wanayoka mashariki ya kati.Ni Yesu (!mvyaa kubadhi) na Muhammad(mvyaa kubadhi).
 
Nieleweke vzur sitaki mambo ya dini hapa. Hapa ni nani mbabe wa modern technology?? Na nani ni Dhaifu???
 
Mvaa Kubaz jibu swali ARE THOSE ARABS LEADING THE WESTERNERS IN TECHNOLOGY????
Sio Techonology tu,hata kwenye dini,wazungu hawana dini zao,wanemfuata Yesu (-mvyaa kubadhi).Na mpaka leo wanamsubiri Yesu(mvyaa kubadhi),aje awakomboe na kuwapa uzima wa milele.
Dunia nzima dini zenye wafuasi wengi ni za wavyaa kubadhi wawili(Yesu na Muhammad),na wote wanatoka mashariki ya kati.
 
Mijadala ya dini kwangu hapana!
 
Sina shida na hiz namba kaka, wew niambie Kubaz wamezitumiaje hizo namba baada ya kuzigundua kuwa mbele kiteknologia kuwazidi wazungu??Yan tuambie baada ya wao kuzigundua hizo namba Wamezitumia vipi kuwa superior ? Najua huna na wala hakuna walichofanya kwahyo msemo uko pale pale Kubaz ni DHAIFU to western people ova!
Wavyaa kubadhi wawili,Yesu na Muhammad,kwa kutumia technologia hiyo hiyo,ndio wameiteka dunia.
Hao wazungu,wametekwa akili na Yesu (mvyaa kubadhi).Na ni wamashariki ya kati.
 
Umeshindwa kwenye technology na westerners sasa unataka kuhamia kweny dini au sio poa twende kazi
 
Back
Top Bottom