Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Ndio nikakuambia huna maarifa.Hizo pesa walizonunua hao waarabu hivyo vitu,hujui kama zimepatikana kwa technologia,-bila technologia hizo pesa wangepata wapi.Kuna ukweli hutaki kuukubali utajiri wa waarabu umepelekwa na wazungu nikamaamisha idea ya magari ya diesel na petrol ilianza western na swala la uchimbaji wa mafuta lilianzia huko marekani
Warabu walipelekewa ujuzi, na mitambo ya kuchimba ni ukweli uliowazi hata ukiangalia makampuni makubwa yako western china nayo imeanza kuwa na makampuni makubwa recently
Usitumie nguvu nyingi kubishana na ukweli na sio kila mwarabu ni muislamu ukienda lebanon na misri utakuta warabu wengi tu wakristo
. Halafu nimeshakuambia dini kuu duniani ni ukristo na uislamu,na walioanzisha ni wavyaa kubadhi,sasa washangaa warabu kuwa wakristo,wakati wote hao ni wavyaa kubadhi,kutoka mashariki yakati.Kama sio wamoja hao,hushangai ndoa ya kikristo inakubalika kwenye uislamu.