Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Sasa wew kijana kwani Aga khan ni ya waislam wa Tanzania?
Agha Khan ilianzishwa mwaka 1964.
Wakati Bugando ilianzishwa 1971 na KCMC 1971.
Waislamu wa Tanzania.1964,wakati wa Awamu ya kwanza Asiyekuwa Raia,hakuruhusiwa Kuwekeza,hata hospital.Uwekezaji wa wasio raia,uliruhusiwa awamu ya pili.
 
Jibu swali acha ngonjera, JE AGA KHAN HOSPITALS HAPA TANZANIA ZINAMILIKIWA NA WAISLAM WA TANZANIA??
 
Ndio waislamu wa Tanzani,Jumuia ya waislam wa Ismailia,hawa mpaka shule walikuwa nazo,mojawapo ni Tambaza na Mzizma,na mikoani pia walikuwa na shule,na University pia wanazo.
 
Faiza harakati zako za kuipigania dini sio za leo wala jana!
Umewahi kujiuliza kwani kufanikiwa hakupo?
Ni kwa sababu dini ni dhana tu!
Dini haitamfikisha mwanadamu katika kufanikiwa kokote, haitamfikisha mwanadamu katika furaha kamilifu ya maisha, na kubwa zaidi haitamfikisha mwanadamu kukutana na muumba wake.
 
Uliona mbali ndugu yangu!
 
Ndio waislamu wa Tanzani,Jumuia ya waislam wa Ismailia,hawa mpaka shule walikuwa nazo,mojawapo ni Tambaza na Mzizma,na mikoani pia walikuwa na shule,na University pia wanazo.
Nilikuambia hii hospital haimilikiwi na waislam wa tanzania bado unakazana na upumbavu wako tu ahhhahh. Hii ni international hospital ni kama ilivyo Serena hotels uku bongo. Sasa tuoneshe hospital zenu kama waislam wa Tanzania. Karibu
 
Attachments

  • Screenshot_20230727-160235.png
    25 KB · Views: 3
Nilikuambia hii hospital haimilikiwi na waislam wa tanzania bado unakazana na upumbavu wako tu ahhhahh. Hii ni international hospital ni kama ilivyo Serena hotels uku bongo. Sasa tuoneshe hospital zenu kama waislam wa Tanzania. Karibu
Soma hapo waanzilishi wa Bugando,Catholic Church,Vatican ndio makao yao makuu.Na huyo mwanzilishi wa KCMC

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tunasubili DP waje watusaidiye
 
Sasa wew kijana kwani Aga khan ni ya waislam wa Tanzania?
Mwenye kanisa ni mvyaa kubadhi Yesu,ni mtu wa mashariki ya kati;
"Nami nakuambia ,wewe ndie Petro,na juu ya mwamba huu nilatalijenga KANISA LANGU,....."
MATHAYO 16:18
Hizo hospital za mwenyewe anayevyaa kubadhi Yesu, mtu wa mashariki ya kati!ndiye mwenye kanisa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Achana na habari sijui ya Yesu sijui nani, Je umeshatambua kwamba Bugando inamilikiwa au iko chini ya maaskofu wa Katoliki Tanzania ? (OWNERSHIP) .sasa leta hospital ambayo ipo chini ya masheikh wa Tanzania. Achana na habari za Yesu
 
Kanisa ni la Yesu,mvyaa kubadhi.Soma
Mathayo 16:18
"NAMI NAKUAMBIA ,WEWE NDIWE PETRO ,NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU..."
Kanisa ni mali ya mvyaa kubadhi Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…