Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

TEC inafahamu kwamba mwaka 1992 wakati Serikali inapitisha mfumo wa vyama vingi ulikuwa umekataliwa na asilimia 77 ya Watanzania? Hata hivyo serikali ikaamua uruhusiwe. Hakuna kumbukumbu za kanisa katoliki kupinga na kusema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.
 
Wengi wasikilizwe maana yake TEC wamefanya research wakagundua wengi wapo upande upi, ndio wakaja na maneno, "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"

Wewe mswahili mfia dini na wenzako mnalowesha server kwa machozi yenu.
Basi kama ni hivo na hiyo mou ya Serikali na hao tec nayo pia ivunjwe maana wengi hawataki
 
Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Mkizidiwa na mishipa yenu mnakimbilia hospitali za kanisa kupasuliwa! Endeleeni kugombania ubwabwa wenzenu wakiwekeza!
 
Jikite kwenye mada ni lini wananchi walishirikishwa kwenye Mkataba wa tec na serikali wa kuwapa hao tec bilioni 36 ambazo hazifanyiwi hata ukaguzi
Ni lini  wananchi walishirikishwa ktk mkataba kati ya DPW ba Serikali!?  ukishatujibu tutakujibu swali lako hapo juu.
 

Sasa hizo Hospitali binafsi ziko wapi Aga khan? Hivi wewe hii nchi unaijua vizuri au unafikiri Tanzania ni Dar? Tembea uone na ujifunze isitoshe unafikiri bila ya KCMC au Bugando hali ya huduma ya afya ingekuwaje?
 
Exactly
 
Mkizidiwa na mishipa yenu mnakimbilia hospitali za kanisa kupasuliwa! Endeleeni kugombania ubwabwa wenzenu wakiwekeza!
Kwani tunatibiwa bure? Tunatoa pesa zetu lakini Mapdre wanalipwa mishahara kwa pesa za Watanzania kwa nini?
 
Over 30% of revenue went off or lost away! / HAYA MABADILIKO KWA VYOVYOTE NI MWIBA,KUNA WATU HAWALALI KAZI ZAO ZITAHARIBIKA!
 
Sasa hizo Hospitali binafsi ziko wapi Aga khan? Hivi wewe hii nchi unaijua vizuri au unafikiri Tanzania ni Dar? Tembea uone na ujifunze isitoshe unafikiri bila ya KCMC au Bugando hali ya huduma ya afya ingekuwaje?
Huko Bugando, KCMC usipokuwa na pesa unafia mapokezi sasa hizo pesa mnazopewa zina faida gani?
 

Lakini Serikali ina choice ya kuacha kulipia, walikuwepo huko na ilikuwa hivyo Nyerere alitaifisha kila kitu lkn ilishindwa kuendesha na kufikisha huduma kwa kila Mwananchi mwishowe wakaamua kuingia “Mkataba” na Taasisi za kidini kwa maana zipo sehemu ambazo Serikali haijafika bado na huko wanaishi Watanzania pia isitoshe nilimaanisha Waislamu wa Tanzania na siyo kwa ujumla nafahamu kwamba Waislamu wengine Duniani wanasaidia sana watu wa chini ushahidi ninao mwingi tu …
 
Litaasisi kubwa lakini kupitia kondoo limefanya manuva lipitishe vitu bila ushuru bandarini,lipewe ruzuku kwenye taasisi zake...bila serikali Hilo kanisa ni hakuna kitu,litakufa kibudu
Naona unaota mchana kweupe..Kanisa Moja Takatifu katoliki la Mitume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…