bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Hakuna kosa na huo nao pia uvunjwekosa la nan hapo? Ndugu yenu mwinyi au TEC , kwan kpnd TEC wakijenga hospitali zao walijua kuwa serikali itaweka huo mkataba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kosa na huo nao pia uvunjwekosa la nan hapo? Ndugu yenu mwinyi au TEC , kwan kpnd TEC wakijenga hospitali zao walijua kuwa serikali itaweka huo mkataba
Basi kama ni hivo na hiyo mou ya Serikali na hao tec nayo pia ivunjwe maana wengi hawatakiWengi wasikilizwe maana yake TEC wamefanya research wakagundua wengi wapo upande upi, ndio wakaja na maneno, "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"
Wewe mswahili mfia dini na wenzako mnalowesha server kwa machozi yenu.
Mkizidiwa na mishipa yenu mnakimbilia hospitali za kanisa kupasuliwa! Endeleeni kugombania ubwabwa wenzenu wakiwekeza!Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Ni lini wananchi walishirikishwa ktk mkataba kati ya DPW ba Serikali!? ukishatujibu tutakujibu swali lako hapo juu.Jikite kwenye mada ni lini wananchi walishirikishwa kwenye Mkataba wa tec na serikali wa kuwapa hao tec bilioni 36 ambazo hazifanyiwi hata ukaguzi
Sio masheikh tu na hao tec nao pia wasipeweSerikali iache kulipa masheikh mishahara
Je madaktari katika hospitali binafsi wanalipwa na serikali?
Serikali inalipa wafanyakazi wa hospitali binafsi?
Jibu hapana, sasa kwanini walipiwe wao tu.
Swali la pili, je wanatoa huduma kwa bei nafuu, kwamba ukitibiwa huku na kule tofauti, je madawa wanauza kwa bei ya chini?
Jibu pia ni hapana.
Hizo hospital zinafanya kazi kibiashara, na zinapaswa zijiendeshe, tusikumbatie vitu kwa mahaba ya udini.
Nyeusi sema nyeusi, sio unaipamba pamba, ohh, nyeusi hii inaenda kama damu ya mzee, ina weupe weupe kwa mbaali🤣
Sema tu nyeusi
ExactlyWanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Kwani tunatibiwa bure? Tunatoa pesa zetu lakini Mapdre wanalipwa mishahara kwa pesa za Watanzania kwa nini?Mkizidiwa na mishipa yenu mnakimbilia hospitali za kanisa kupasuliwa! Endeleeni kugombania ubwabwa wenzenu wakiwekeza!
Over 30% of revenue went off or lost away! / HAYA MABADILIKO KWA VYOVYOTE NI MWIBA,KUNA WATU HAWALALI KAZI ZAO ZITAHARIBIKA!Padri Kitima anasema kwa zaidi ya miaka 60 ama toka tupate uhuru bandari yetu haijawahi kuendeshwa na wageni. Hii ni kauli yake au ya maaskofu wa TEC? Ni kweli TEC haifahamu kwamba kwa zaidi ya miaka 22 Bandari yetu ya Dar imekuwa chini ya kampuni ya TICTS ikiendeshwa kwa ubia na kampuni toka Hong Kong (Hutchsons?). Kama wanafahamu, wanakumbuka wabia wazawa wa kampuni hiyo wanahusika kwenye kuwapa hela maaskofu kama Rugemalira na IPTL yake walivyofanya? Hili wamewahi kuwaambia waumini wao katika mimbari za ibada?
Huko Bugando, KCMC usipokuwa na pesa unafia mapokezi sasa hizo pesa mnazopewa zina faida gani?Sasa hizo Hospitali binafsi ziko wapi Aga khan? Hivi wewe hii nchi unaijua vizuri au unafikiri Tanzania ni Dar? Tembea uone na ujifunze isitoshe unafikiri bila ya KCMC au Bugando hali ya huduma ya afya ingekuwaje?
Umejitahidi kuandika ila ungeufatilia uislam vzr bila mihemko ungekua muislam maana kuhusu huduma hizo za bule kwa watu wenye uwezo wa chini kuna zaka kuna waqfu shule zipo hospital zipo nyumba za kuishi zipo ili mtoto wa mlala hoi azipate bule naye afurahie dunia ila kuna watu wanatumika kuharibu malengo au kuzulumu nakama kweli mnapewa bl 37 kweli msiseme janisa ndo linajenga hospt bali ni serikali maana hizo hela anaweza jenga hosptal 10 kumi kila mwezi kuhusu kutoa huduma hizohizo zinazipewa b37 galama zipo juu
Tulishirikishwa...Kaka Dp worldLini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Kwani huyo mtoa mada amesema hospitali zote ni za hao tec?Alie kuambia Hospitali zote ni za TEC ni nani? Kule Mara kuna kanisa linaitwa Menonite Tanzania wana hospitali teule, unasemaje hapo? Unakosa Elimu Dunia wewe
Kosa la nani?Jibu wapi wanachi walishirikishwa kwenye Mkataba wa serikali na hao tec
Hospitali za Serikali mnatibiwa bure? Kwanini msijenge zenu ili mtibiwe bure?Kwani tunatibiwa bure? Tunatoa pesa zetu lakini Mapdre wanalipwa mishahara kwa pesa za Watanzania kwa nini?
Naona unaota mchana kweupe..Kanisa Moja Takatifu katoliki la MitumeLitaasisi kubwa lakini kupitia kondoo limefanya manuva lipitishe vitu bila ushuru bandarini,lipewe ruzuku kwenye taasisi zake...bila serikali Hilo kanisa ni hakuna kitu,litakufa kibudu
Kapige goti kwenye sanamu la bikira maria mama wa Mungu,uliombe likuombeeNaona unaota mchana kweupe..Kanisa Moja Takatifu katoliki la Mitume
Hoja zipo kwa nini uwape pesa za walipa kodi hao tec tu?Hospitali za Serikali mnatibiwa bure? Kwanini msijenge zenu ili mtibiwe bure?
Hapa hakuna hoja zaidi ya ujinga na utoto tu!