Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Lini Wananchi walishirikishwa kwenye huu mkataba?Fedha ya watazania kutumika kwa watanzania kuna ubaya gani? Je, waislam na dini nyingine na hata wasio na dini waliomba kufanya mikataba kama hii wakakataliwa? Hamuoni kuwa mnapofananisha suala la huu mkataba mbovu wa waarabu kuwa hiyo MOA ya wakristo inaonyesha kabisa DP world ilikuwa inakuja kwa sababu za kidini?