Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Fedha ya watazania kutumika kwa watanzania kuna ubaya gani? Je, waislam na dini nyingine na hata wasio na dini waliomba kufanya mikataba kama hii wakakataliwa? Hamuoni kuwa mnapofananisha suala la huu mkataba mbovu wa waarabu kuwa hiyo MOA ya wakristo inaonyesha kabisa DP world ilikuwa inakuja kwa sababu za kidini?
Wewe punguani kweli yaaani mapadre
Hawa wote wanalipwa mishahara kutoka kodi za Watanzania na sio sadaka.
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwez

Huu mkataba hauna kikomo unaona sawa una akili kweli wewe?
 
Ulivyokuwa na akili ya kushikiwa unadhani serikali inaendeshwa na mapadre wa Chadema?
sasa hatuwaelew kama serikali haiendeshw na mapadri kwann wasijenge hospital badala ya kuwapa mizigo hizo hospital za private , ss hv kuna 600B ila wanaipeleka muhimbili badala ya kujenga hospital ya referral kubwa huko mwanza au kanda ya kaskazin au kusin ili waache zisumbua Bugando (kanda ya ziwa ) , Kcmc ( kanda ya kaskazin ) , ikonda kanda ya kusin magharib , ukitoka hapo unaendelea walaim mapadr
 
Kwa hivyo TEC wangeunga mkono mkataba wa bandari, MoU katika ya serikali na madhebu ya kikristo katika kutoa huduma za afya kwa watanzania ingekuwa ni "halali"? Nafikiri badala ya kushambulia watoa hoja (TEC), tutizame hoja zao na kuzipinga kwa hoja. Tukishambulia MoU tu, haijibu chochote kilichomo kwenye wataka wa TEC.
Tunaangalia pande zote mbili maana pesa zinazotumika za watanzania.
 
Kavae mabomu ujilipue uwahi kugegeda wanawali 70. Unachelewa, utakuta wameisha ohooo...
Hata kama PD World wangekuja kuendesha bandari kwa kujitolea bureee basi hawa Jamaa wangepinga. Ndo walivo tunawafahamu tangu uhuru.
Na wakiongea neno mwarabu humaanisha waislam.
 
Mleta mada kumbuka wewe ni sehemu ya wa Tz na ulitakiwa ukubaliane kuunga mkono hoja za TEC ktk hili la bandari (kama ungekuwa na akili lakini)
Kumbuka haya ( kama una akili nzuri);
1. Raslimali za Taifa hili ni urithi kwa Taifa lote na vizazi vijavyo bila kuangalia dini ya mtu au una akili au huna,
2. TEC wana mahospitali, vituo vya afya na huduma nyingi za jamii nchi nzima hadi sehemu ambazo serikali hawajafika na hutoa huduma kwa bei nafuu bila kujali imani/dini ya mtu.

Tena mie nahisi hizo fedha ulizotaja ni kidogo sana tofauti na huduma zao kwa jamii.
Unapohoji kitu ni vyema ukafikiri na ukafanya research kdg kabla ya kaundiika (kama una akili nzuri na huendeshwi na mihemko)
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Shida ni pale mnapofikiri mkataba wa ovyo unasawazishwa na mkataba mwingine wa ovyo.
Lingine ni ujinga unaoonyeshwa kwa udini tu. Kila mwenye uchungu na kujali vizazi vijavyo vya taifa letu bila kujali dini ameshituka na masharti ya mkataba wa kupewa bandari zetu zote kumiliki na kuendesha dubai. Hao wanaotetea kwa sababu ya udini wana maslahi binafsini au ni wajinga hawajui.
 
Uwe na akili kidogo. Shule nyingi sana kongwe za sekondari Tanzania bara zilikuwa ni Mali ya hao Wakatoliki. Nyerere alizitaifisha na kuzifanya za umma. Watoto wengi wakiwamo waislamu waliata elimu zao kupitia shule hizi. Wakatoliki wakidai warudishiwe shule zao na kuzichukua serikali itabaki na shule za kata tu.
 
Hata kama PD World wangekuja kuendesha bandari kwa kujitolea bureee basi hawa Jamaa wangepinga. Ndo walivo tunawafahamu tangu uhuru.
Na wakiongea neno mwarabu humaanisha waislam.
Jamani muwe mnakaa kimya kuficha upumbavu wa kuzaliwa!
Hili la raslimali zetu sio la wakristo au waislamu au wapagani! NI raslimali za sisi na vizazi vyetu vijavyo bila kujali itikadi zetu nyie mliokosa fikra!
 
CCM IPO chini ya katoliki wewe ni Nani nchi hii Hadi ubishane na katoliki?
Kumbuka ukoo wenu wote Hadi Baba yako aliwekwa madarakani na hao katoliki, washukuru Kwa hapo mlipofikishwa
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Mijitu isiyokula nguruwe🐽🐖🐖 huwa haina akili
 
Waislamu mmejenga hospitali gani yenye hadhi ya bugando..?
Wajenge kwani wamepewa mabilioni kama kanisa wanavyopewa?
Wataendeleaje wakati mmewaminya na kuwafelisha maksudi kuanzia chekechea?
Ila sasa ni uprising time kwao, wamesoma kinguvu na wameinuka na wanajua haki zao, kaeni chonjo lolote linaweza kutokea
 
Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Na gharama za hospital za kanisa zipo juu sana na pesa wanachukua serikalini ki ukweli uvunjwe tu huu mkataba hizo pesa wakaboreshe bohari ya dawa kwa sasa inafika kila pembe ya tanzania
 
Waache kununua tende wakajenge hospitali? Misikiti yenyewe wanajengewa
Wapewe na wao mabilioni kama wanavyopewa kanisa halafu tuone kama hawatajenga,

Jibuni hoja msihamishe magoli, kwanini muendelee kupewa hizi hela? Serikali isimamishe fasta
 
ni serikali yako ndio iliomba wala hao waroma hawakuwa na mipango ya kuhudumia kama referral , ss waislam ifikr muda akili ziwe zinafny kaz , ilaumu serikali yako ambayo inarudia kosa lile lile za kuish kiomba omba , badala wajenge hospital wao wanapeleka hospitalin za private na badala serikali waboreshe bandari wao wanaenda kugawa bandari , HIYO NI SERIKALI USILAUMU WATU WENGINE
Huu uongo uliotukuka huu,
Yaani serikali iombe kuwapa hela?

Jibuni hoja msihamishe magoli, ni lini walishirikisha watu kwenye hili? Mbona hamsemi?
 
Kwa kutazama hili sakata Tangu Lianze Ni dhahiri kwamba tunakoelekea sio kuzuri na sasa Ningeomba mamlaka zote zinazopaswa kuingilia kati kama ni kurekebisha mkataba au kama ni kufanya maboresho au kama ni kutoa elimu inapaswa kufanywa kwa maana tunakoenda ni vita ya KIDINI SISI KWA SISI...MAANA NIMEPITIA COMMENTS ZOTE NA NIMEONA KUNA HASIRA NYINGI NA MIHEMKO MINGI YA KIDINI AMBAYO INAONYESHA HASIRA YA "UNGEKUWA KARIBU NINGEKUTWANGA" NA HII SIO NZURI JAMANI TUNAWEZA KUSHINDA VITA VYOTE ILA SIO VITA YA SISI KWA SISI YA KIDINI VITA HIZI HUDUMU KARNE HADI KARNE TUNAOMBA HATUA ZICHUKULIWE KABLA MAMBO HAYAJAWA MABAYA
 
Hizo huduma wanazipata bure au wanalipia? Ukishakua na pesa yako popote unatibiwa hiyo siyo hoja.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Sasa si lazima hata kuwe na hiyo huduma ya kulipia? Kuna mahali hapa Tanzania hakuna Hospitali za Serikali isipokuwa za Taasisi za kidini tu na ndiyo maana Serikali ikaamua kushirikiana na Kanisa kwa sababu Serikali wakishindwa kufikia kila mtu, na taasisi za kidini zinahudumia kila mtu hivyo kuziondoa ni kutesa watu wa chini ambao kuna Waislamu wenu pia …
 
Back
Top Bottom