Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Waislamu mmejenga hospitali gani yenye hadhi ya bugando..?
Sioni tatizo la TEC kumiliki Bugando na KCMC tatizo hizo hospital zina masharti ya hispital binafsi,bei ya huduma ipo juu.

Serikali ijenge hospital,halafu hizo ziendelee kuwa za wakatoliki,wajiendeshe wenyewe bila kutumia kodi za Watanzania.

Serikali haina dini kwanini sasa wanaipa hela dini moja halafu dini zingine hazipewi kwa kisingizio cha Hospital ambayo kimsingi inauza huduma ?
 
Hujui chochote punguani wewe yaani serikali ndiyo iliomba kuipa pesa kanisa? Unajua waliohusika na huo mkataba?
Shida unapambana na kokolo kubwa sana,hao Wakatoliki humuwawezi ata mfanyaje.Cha msingi na nyie jengeni Hospitali zenu alafu muende kuomba ruzuku serikalini kama wenzenu.
Lakini kwa porojo zenu hizo mtaishia kulalama tu,kama mke mwenza anayemlalamikia mke mkubwa kupendelewa!
Juzi Rais Samia amezindua kitega Uchumi cha Kanisa la Anglican Dodoma;nyinyi mbona hatuwaoni kujenga vitega Uchumi vyenu?
Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro,Yale majengo ni ya serikali lakini mlipewa na Mkapa,kwani Wakristo wamelalamika?
 
Mimi Ni mkristo tena lia lia lakini kwa hili ya 36 BILIONI ,

HAIKUBALIKI..

Kama serikali haina Dini mbona Dini zingine hawapewi?
 
Raisi Kikwete alisema sio pesa ua umma 🙂
 
Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Lini Wananchi walishirikishwa na serikali kutoa majengo yake kwa Waislamu ili waanzishe Chuo Kikuu Mkoani Morogoro!!?
 
Umetoa hoja nzuri sana.
Lakini ule mkataba MOU ukiusoma Kanisa nalo niliibana serikali isijenge huduma inayofanana na waliyonayo kwenye maeneo walipowekeza.

Kwa kifupi hawataki ushindani ili wafanye biashara yenye faida.

Mkataba uletwe kwa wananchi tuamue kama uendelee au ukome
 
TEC inazo nguvu za kuiangusha CCM kuliko taasisi yoyote ile nchini.
Kupitia idadi ya waumini wake waliotapakaa nchi nzima pamoja na jumuia zake na woote ni watiifu kwa maaskofu wao.

Habari hii iwafikie wajinga woote mliomo humu.
 
Hiyo ndio imeenda
 
Usingejaa hisia,uzandiki na ujinga....usingeandika Uzi kama huu. Huduma zinazotolewa na kanisa katoliki hapa nchini zimelisaidia taifa pakubwa.
Afya na elimu ni mambo muhimu kwa kila taifa.
Hizo huduma zinatolewa Bure?
 
Kama kuna maendelo kwani waislam kutoka Syria, Afrika magharibi na Libya wanakufa kwenye maji wanaenda Uingereza na Italy? Kwanini wasiende Dubai ambapo kuna maendeleo?
Hao wanaowaendea ndio ambao wamewaharibia Nchi zao kwa kuwapeleke mapigano kwa hiyo ndio sawa sawa waende kwa hao hao
 
Hizo pesa walipewa Maaskofu wao binafsi kulingana na mahusiano Yao na Rugemalira au ilipewa TEC kama Baraza la Maaskofu?

Kumbuka kuna Bilioni 320 zingine IPTL anapaswa alipwe na serikali baada ya kushinda kesi!
Mwambie Samia asilipe kwasababu watagawiwa tena Maaskofu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Mwamba una hoja za kitoto sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…